usipozungumzia CCM utazungumzia nini sasa wakati ndicho chama kongwe,dumee yan ukigusa CCM tuu ama chochotee yawe maswala ya kiuchumi,kiutamaduni, na kisiasaa CCM haiepukikiii aiseee,poreee alaf tangiapo ni maarufu sanaaa tuu si ajabu hata kabla ujazaliwa enzi za babu zakoo na hata kikitoka leo...