Recent content by mwagavumbi 11

  1. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Zitto anahangaika sana, hivi azma yake kwa Mbowe itafanikiwa?

    fisadi si lazima awe serikalini, fisadi ni mtu yeyote anayejipatia pesa kinyume na taratibu za nchi husika. mfano kunawafanyabiashara wanaingiza mizigo yao bila kulipa kodi, wengine wamekuwa madalali wa raslimali za watanzania a.k.a madalali
  2. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Zitto anahangaika sana, hivi azma yake kwa Mbowe itafanikiwa?

    fisadi si lazima awe serikalini, fisadi ni mtu yeyote anayejipatia pesa kinyume ba taratibu za nchi husika. mfano kunawafanyabiashara wanaingiza mizigo yao bila kulipa kodi, wengine wamekuwa madalali wa raslimali za watanzania a.k.a madalali
  3. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea Magufuli unaweza kumtikisa Barrick (ACACIA) kiasi hiki!!

    lowassa na sumaye ni wasanii tu. hawakuwa na nia ya dhati na nchi hii.
  4. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Kweli akili ni mali, wewe ni kiazi.
  5. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    john pombe magufuri
  6. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    ndoto za mchana, magufuri okoa watanzania wewe ndio tegemeo letu.
  7. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Lowassa no mgonjwa name fisadi papa ndiomaana Ccm wamembwaga
  8. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa kupeleka wanafunzi kidato cha tano mwaka huu

    tatizo pesa za kuendeshea shule:llama:
  9. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Kwa lipi Lowassa apewe nchi?

    rais mtarajiwa ni Lowassa
  10. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Kikwete kwenda Mwanza kuzindua barabara ya Usagara - Kisesa

    mnafiki hana fadhila. mimi nikiwa ziara kanda ya ziwa barabara ya kisesa mwanza mbona imekamilika 91%. una jipya jipange upya
  11. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

    yupo Lema anaongoza maandamano uku akiwa mtupu. hajavaa nguo.
  12. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Arusha: Tishio la CHADEMA kuandamana nchi nzima, Polisi wakesha wakilinda sehemu za wazi

    inawezekana unaongea wakati unakata viuno, CD iliishakufa yamebaki masalia na misukule ya macho kumchuzi
  13. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Musoma kumewaka.

    hayo maandamano yako kwenyemasaburi yako or? Mimi nipo hapa chuo cha maendeleo ya jamii buhare na sijaona maandamano au inawezekana hao wanaandamana kwa kiini macho? kweli wapuuzi ndio waliwao.
  14. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania Arusha: Tishio la CHADEMA kuandamana nchi nzima, Polisi wakesha wakilinda sehemu za wazi

    Cdm kiliishakufa wanachokifanya viongozi wao ni kumalizia masalia yaliyobaki kisha kusepa, hivisasa mh. mbowe yuko Africa kusini anakula kuku kwa mrija misukule iandamane. kweli viplate vinakazi.
  15. mwagavumbi 11

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kuanzia Jumatatu, Sept 22 ni wiki ya Maandamano Nchi nzima bila kikomo

    da viplate vya Cdm mnamatatizo sana, kugawa tigo kwenu kuaribu mikoa kama Arusha nyie, wake za wetu eg mzee slaa life nyie kugawa mgongo Dubai nyie da mtafanya maendeleo lini? mh. liverpoolfc achana na wauza migongo hao
Back
Top Bottom