Recent content by Mwafrika mmoja

  1. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatuwazi kama Japan, Korea, Singapore na Ulaya?

    Mwaka 2026 dunia sasa inakimbia sana, mambo yanabadilika kila baada ya sekunde 30 lakini kwa nchi nyingi za Afrika. Inawezekana kabisa mambo yanabadilika.Kila baada ya wiki 30. Huwa inaumiza sana na kushangaza, katika karne ya 21 mwaka 2026 unakuta binadamu wanagombania usafiri kituoni mpaka...
  2. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Ingia kwenye profile yangu nina nyuzi nyingi kuhusu Fiverr nimeeleza ..... ushahidi wa picha niliweka Jamiiforums wameshusha
  3. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Asante ..... nipe kichwa na miguu niweke
  4. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Asante Mkuu, wengi hawataki kuchosha akili wanataka niwaambie tu fungua hapa ukibonyeza utapata hela kwenye simu yako
  5. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Huu ni Ushuhuda wangu wa Kweli kuhusu pesa

    Katika Dunia hii ambayo wote tumezaliwa tumekuja hatuna hata soksi, kila kitu tumekikuta basi tambua kuwa hakuna kitu HAKIWEZEKANI. Mitandao hii hii ambayo tunatumia kila siku. Kuna watu ndiyo inawaendeshea maisha. Kuna watu wamejenga, wamenunua magari, kuna ambao hawataki kuajiriwa. Iko Hivi...
  6. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    English baba !! 😀
  7. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    Hongera mkuu, keep up !! .... Ingia kwenye profile yako kila siku kazi zitakuja
  8. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    Asante ...... Ila hapo unanicheka au unafurahia?
  9. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo, kuhariri video, kusimamia mitandao ya kijamii, kurekodi sauti au hata kuingiza data. Leo nakupa...
  10. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Email yako ya Gmail, kitambulisho cha taifa kwa ajili ya kuverify identity, majina matatu na namba ya simu...... taarifa za bank utaweka mwenyewe ili wawe wanakutumia hizo pesa
  11. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Hiyo ya technician ni ipi?, kama huna skill yoyote unaweza kuweka huduma ya kuwatumia watu wa nje kitu chochote halali wanachohitaji kutoka Tanzania, yaani unatafutia mfano unga wa mtama 😀 halafu unawatumia, baadaye ukipata skill nyingine unaongeza huduma
  12. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Wapi wamekwambia mambo ya kulipia?. Njoo nikufungulie akaunti bure ili uwe shuhuda
  13. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Sikupi pesa ila nakupa mchongo, amua wewe

    Tumia na wewe ni bure tu Evelyn
Back
Top Bottom