Recent content by Mwadada84

  1. Mwadada84

    Niko njia panda

    Bosi bila kumung'unya maneno umegongewa.....hiyo night wlikuwa analiwa............ndo maana hakutaka usumbufu wako kwa jamaa aliyekuzidi mbinu na utaalamu...........ukipenda amini ukiona haiwezekani fanya mtandao ulikuwa unasumbua
  2. Mwadada84

    Sababu sita kwanini hutakiwi kuacha kujichua ikiwa bado hujaoa(Single)

    Endelea kujichua..........ukioa na usipo tombewa najiua
  3. Mwadada84

    Mke wangu hataki niende kazini

    Ati uache kwenda kazini........akiacha kulia yeye......utaanza kulia wewe.....komaa na job wewe......
  4. Mwadada84

    Leo nisipokufa basi sifi tena

    Mwanza sina hamu nayo.................kashuhudie ili uhukumu kwa haki
  5. Mwadada84

    Huyu binti ni mrembo kwa kweli, ila hapa tu ndo anaponikoseshaga raha

    Na mimi enzi hizo nilikuwaga na dem dizaini hiyo......mzuri......kinywa sasa kinatema balaaaa........nikala kona
  6. Mwadada84

    Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

    Mapenzi bwana............hivi hapi anajaribu kuamini kama hawakufanya chochote.........hakuna mwanaume mjinga kiasi hicho aiseeeeeeeee......ukweli ni kuwa hamaaa anapiga ile kisela.....ila wewe ndo mhusika mkuu.......eti godolo la chini......hakuna kitu jama hicho afrika mashariki na kati
  7. Mwadada84

    Nasafiri lakini nahisi nitachapiwa

    Unalo mjomba.................uzuri hutajua
  8. Mwadada84

    Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Inakela sanaaaaana mkuu......ushauri.......tulia kimyaaaaaaa acha maisha yaendeleee.....il take care........yale mahag ni ishara ya shaka kuu....cha kufanya....hakikishavunaipata no ya jamaa.....kisha fuatilia kwa siri kama wanawasiliana.......ila jikaze asijue.......akijua unamfuatilia...
  9. Mwadada84

    Ushauri: Jamani nimetendwa na mpenzi wangu

    Achana na mapenzi.....tafuta pesa kwanza
  10. Mwadada84

    Nini chanzo na tiba kwa mwanamke mwenye hamu ya tendo ila hasikii ladha ya tendo?

    Mke wangu anaumri wa miaka 25, ana mtoto wa miaka 5 na amekuwa akichoma sindano za uzazi wa mpango. Kwa sasa ana mwaka hajachoma tena, amekuwa na tatizo la kukosa kusikia radha ya tendo la ndoa licha ya kuwa na hamu kufanya tendo la ndoa. Naomba msaada wa ushauri/tiba
  11. Mwadada84

    Kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamke

    Kwa mwenye uelewa, naomba maelekezo ya nini hasa husababisha mwanamke kukosa hamu ya tendo na kutohisi chochote wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke...nini tiba yake? Thx in advance
  12. Mwadada84

    Ananikumbuka akiwa na shida hili hali hanaga muda na mimi

    Tukushauri nini sasa...........
  13. Mwadada84

    Anadai nikacheki damu kama haina tatizo

    So unauhakika UTI inaambikizwa kwa sex?.......unahisi au ndo daktari kakwambia hivyo...........haya basi ana UTI
  14. Mwadada84

    Anadai nikacheki damu kama haina tatizo

    Wanaumwe hawapatagi UTI kutokana na maumbile yao....pia haiambukizi kwa njia ya sex........ninacho hisi hapo....atakuwa ametembea na mwanamke mwenye gonjwa na zinaa....ametibiwa ila ana wasiwasi asije akawa amekanyaga moto.....sasa kwa vile anasex na wewe kavu.......anataka kukutumia wewe kama...
Back
Top Bottom