Recent content by mwabhalase

  1. M

    JamiiForums Tanzania NHIF, kwanini vifurushi vipya vikatae kutibu figo, moyo na kansa?

    Kwamba Tanzania tumefikia hapa hata magonjwa ya kuugua tunapangiwa ,ukiugua ugonjwa ambao utapunguza mapato ya serikali utajitibu mwenyewe
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ili kurudisha Uzalendo, Media zote nchini ziwe zinaungana na TBC katika kupata Habari. Iwe ni LAZIMA kufuatilia

    Tukumbuke kufeli kwa malezi ya kizazi kilichopita ndo kumepelekea kutokua na nidhamu kwa kizazi hiki kwahyo msiwalaumu watoto wa sasa ila wazazi na kumbuka samaki ameshakauka na hta mkifunga vituo vyote vya televishen msizani ndo kutabadilisha hali hii
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jipu NECTA: Mitihani ya form six yavuja kwa kasi ya ajabu

    Ila naona hoja yako sio kuvuja mtihani Bali in Ndalichako kujiuzulu na utasubili sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya wakuu wa Wilaya wapya 70, vituo vyao

    Kaserere wapi juhudi zte zile siamin Kama hayupo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makapuku Forum

    Na mi nimo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Magu: Bibi na mjukuu wake wafumaniwa wakifanya yao

    Daaah hiii kashfa
Back
Top Bottom