Recent content by mwabakuki

  1. M

    JamiiForums Tanzania NHIF yatolea ufafanuzi wa kwamba imesitisha huduma kwa watoto na wategemezi wa wanachama wake

    Wewe unazungumza nini .upuuzi mtupu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Igunga waomba wakamatiwe Elibariki Kingu, aliwaibia milioni 90

    Waulizeni BUNJU BEACH SACCOS jinsi alivyowatapeli shs. Milioni 30. Ni mwaka wa sita sasa. Alikuwa hajawa DC wala mbunge . Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani Igunga waomba wakamatiwe Elibariki Kingu, aliwaibia milioni 90

    Lisu ndiye aliyekagua hesabu za Igunga au CAG?? Ûsijadhalilishe kwa kutetea upuuzi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Tell us your value.. We will score you rightly...You are too low compare yourself with BENEDICTO MUTUNGIREHI. Go back to square one and evaluate your thinking before spitting out such a shit
  5. M

    JamiiForums Tanzania Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Inayolipa ni ya kushinda jf mnapiga miayo na hekaya za abunwasi ??? Miaka mitano baadae unaanza kulia umaskini.... Wake up kabla haujamaskinika ..hahahahhaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Ww usiye na njaaa nani anakujua??? Kuna mtu aliwahi kuja kuomba shibe yako.??? Hahahahaaaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Wewe ambaye si traitor uliwahi hata kuwa kiranja wa darasa....stop spitting nonsrnse...you just a mediocre ...this is how zombies think... Polee ndugu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Wewe ushakatwa tako bila kujua.. Hahahahahahaaaaa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

    Na ww ubaki tu huko!!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania B. Mkapa anamiliki mashamba ya miwa ya Mtibwa, na ndiye Swahiba wa Rais Magufuli

    Ebu rudia hesabu yako...haiko sawa
  11. M

    JamiiForums Tanzania TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Zakaria anazalisha sukari...zungumza vitu ambavyo una ushahidi navyo...kama huna hukika unachosema kaa kimya.. Usitake kupotosha lengo na dhamira ya Mh. Rais katika hili Nchi haiwezi kuvumilia uhuni na magenge (cartels) yasiyo na nia nzuri na taifa. Ni lazima kama kiongozi wa nchi achukue...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA, itakutana Mjini Dodoma katika kikao chake kuanzia Mei 12-13

    ivi Makene kazi yake huwa ni kutangaza mikutano ya kamati kuu tu....ni kama vile idara ya habari CDM imekufa... He needs to gauge himself if he is still fit and relevant for the position Sioni ubunifu katika idara hii ...poleni CDM naona mnazama mdogo mdogo
  13. M

    JamiiForums Tanzania TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Kwani tatizo lilikuwa ni kuingizwa au kutoingizwa kihalali?? Tatizo kwa maelezo ya mh. Rais tatizo ni kuficha sukari kwa lengo la kusababisha uhaba wa makusudi sokoni...wala hapa TRA haousiki na suala hili...kuficha bidhaa kwa lengo la kusababisha uhaba kwa makusudi ni JINAI sasa tangu lini TRA...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii sio kudidimiza taaluma?

    Ndugu yangu umegusa penyewe..tunakoelekea tutasababisha majanga mawili makuba 1. Kuvurugwa na kushuka kwa taaluma vyuoni..bahati mbaya sana walimu wengi wanaoteuliwa wanatoka katika chuo kimoja..tutajikuta vyuo vina upungufu mkubwa wa wabobezi katika maeneo kadhaa 2. Madhara ya kushuka kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Uwaziri apewew mpiga porojo bungeni??? So outrageous...
Back
Top Bottom