Recent content by MvunjaJungu2016

  1. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaisambaratisha vibaya CCM uchaguzi wa vitongoji Geita

    Sasa hivi tutajifariji kwa maandiko toka vitabu vitakatifu kuwa Nabii haheshimiwi Nyumbani kwako..... Hah na bado.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba aomba kutengua kujiuzulu kwake Uenyekiti CUF

    Si bure bado yuko kazini..... Wamesoma dalili za mvua kuwa kwa mwenendo anaokwenda nao mkuu mwaka 2020 Kazi itakuwa kubwa so anarudishwa huyu ili kuendeleza mile alichofikiri amekikamilisha kabla ya uchaguzi mkuu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli una ujasiri jukwaani tu

    Wananchi gani hao wenye kutazama mbele....hawa 1.Walioahidiwa milioni 50 Kila kijiji wakasahau kudai? (Ahadi ni deni) 2. Hawa hawa waliopotezwa kwenye hoja muhimu kama za sukari, Lugumi? 3. Na nyingine nyingi? Wadanganyika tunayo safari ndefu.....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Iko wapi sukari iliyoagizwa serikali?

    Alitoa promo akapata hits za kutosha....akanogewa. Badala ya kukamilisha wimbo karukia kutambulisha vibwagizo vya nyimbo nyingine nyingi tu....ya mwisho ni ya barabara ya kuelekea kwa Mzee wa pale Ubungo Riverside........
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dereva wa mwendo kasi'

    Hahaha haha eti Baba Jesca.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amdhalilisha Meya wa UKAWA Manispaa ya Ilala

    Kweli kabisa Mkuu..... Bado tunayo safari ndefu. Inasikitisha sana lakini tutafika tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa serikali hii ya Magufuli, Vijana tutaisoma namba

    Kwa tamko lile nimethibitisha hofu yangu kuwa ni kweli yuko sawa na yule aliyesemaga kuwa hajui kwa nini nchi ni masikini.......
  8. M

    JamiiForums Tanzania CUF watoa tamko zito, Taarifa kwa vyombo vya habari

    Mafahari wawili waumanapo ziumiazo ni nyasi..... Mola watetee wanyonge.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Mh. Paul Makonda...... Haya.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwanza: Mkutano Mkuu wa Baraza kuu CHADEMA - (Uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Chama)

    Hahahah amesahau kuwa anaishi katika jumba la vioo karusha jiwe ... Hawa watu bwana. Ndio maana yule kiongozi alisema akili za mbayuwayu... Nadhani alikuwa anazungumzia vivid examples za watu wake ....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwanza: Mkutano Mkuu wa Baraza kuu CHADEMA - (Uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Chama)

    Alaa.... Kikao kishamalizika au ndo umekuwa shekh Yahya the Second?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwanza: Mkutano Mkuu wa Baraza kuu CHADEMA - (Uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Chama)

    Wanaikubali kimya kimya ndio maana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwanza: Mkutano Mkuu wa Baraza kuu CHADEMA - (Uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Chama)

    Hahahaha hakika akikujibu hii Mkuu...ye mbishi.....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

    Meela mimi nadhani CCM bado ni chama cha magamba. Ugamba uko katika mfumo wa chama na sio watu. Hao waliotoka ugambani wanakuja kuingia katika mfumo mwingine hivyo sio rahisi kuona wakichafua chama maana mfumo ni tofauti. Kuwa na amani.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mwanza: Mkutano Mkuu wa Baraza kuu CHADEMA - (Uchaguzi wa Katibu Mkuu wa Chama)

    Hakika tunasubiri kwa hamu. Mungu asimamie kikao hiki cha leo.
Back
Top Bottom