Mbona unachekesha sana! Mwenzio alishaona huu ni mziki munene, akaenda zake kula bata Kenya. Hujui kwamba hivi karibuni anarudi nyumbani? Umebaki wewe tu.
Unashangaza sana! Eti hongo, ahongwe nani? Huo upande mwingine hakuna mpya, zote ni nyeusi, kwanini mtu ang'ang'anie kuti kavu? Karibuni nyumbani kwenu...
Hili ni jambo la maana sana. Ninyi ndiyo mliokuwa mnakihujumu chama chetu. Sasa mumebanwa mbavu, mnaanza kulalama. Wewe ukitaka baki chamani, hutaki sepa! Chama hakiteteleki kwa porojo zako!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.