Kaunga,
Umesema kweli. Lengo lake lilikuwa nai kugombanisha watu CHADEMA has baada ya kuona kwamba ushauri wake haukuchukuliwa na CHADEMA. Pia ukumbuke, MM yuko against Lowasa hata alipokuwa anagombea CCM. Jambo la kumshukuru Mungu ni kwamba, hilo jaribio lake linaelekea kufeli, kwani Dr. Slaa...