Mvumilivumie
Member
- Apr 16, 2015
- 64
- 75
Habari zenu jamani.
Jamani naulizia ni wapi nitaweza kupata Variety mbalimbali za viagra hapa Dar es Salaam. Napenda ziwe dawa originals na si hizi ambazo hazina TBS au FDA.
Tafadalini naomba mwenye kujua sehemu hapa Dar anielekeze.
Natanguliza shukrani.