Yaani hii itakuwa mara yangu ya kwanza kushindwa, miss chagga nakutakia kila kheri ila kumbuka ukiwa na ATM ya Master card haimaanishi unahela maana akaunti yaweza kuwa Dormant
Naona unaandaa mazingira ili mabadiliko mtakayoyafanya yaonekane mazuri eeeeh? Eti mwenyekiti aongeze wajumbe watatu yaani Lipumba, Mbowe na mbatia hahahaha.
Niko tayari kwa kila kitu na tutawezana tu nitamtimizia kila atakacho just kusikilizana, kuhurumiana, kushauriana na kuthaminiana. Pesa kitu cha kawaida sana kwangu.
Huyo lusungo hawezi kuwa na mtoto anayedeka maani hajui ku care hata kidogo, najua miss chagga kama wasichana wengine anapenda mtu anayejua ku care, mwenye pesa na mwenye sifa kama ya jina langu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.