Recent content by mvua magamba

  1. M

    Mauaji ya South Beach, ni kweli wauwaji wako nje kwa dhamana?

    Magazeti mengi ya leo yameripoti kuwa wale wafanyakazi wa hoteli ya South Beach wanaotuhumiwa kumchoma moto na hatimaye kumsababishia kifo mkazi wa Kigamboni Bw.Lilah Hussein wako nje kwa dhamana. Chanzo hicho kinasema kuwa watuhumiwa hao kutokana "shinikizo la wakubwa ili kuwalinda wawekezaji"...
  2. M

    Ni kina nani walinufaika na pesa za Stimulus Package?

    Ungehitaji majibu ya maswali yote haya ungefanya Research kwanza kabla ya kukurupuka! Kujiunga au kutokujiunga leo hakuninyimi haki ya kuchangia maoni yangu. Lililo muhimu ni kutumia maendeleo ya TEKNoHama kuelimishana, jenga hoja kwa data na si kwa emotions za chuki. Ndio maana mimi nimeomba...
  3. M

    Ni kina nani walinufaika na pesa za Stimulus Package?

    Jamani me nafikiri tunachanganya mambo mawili hapa. Moja ni maisha binafsi ya Kimei ambayo hayana nafasi kwa watu makini kama sisi na ni ushamba kuyajadili hapa. Pili ni Stimulus package,mwenye data kamili hebu azilete. Kwa habari nilizo nazo sector zilizoathirika na mdodoro wa uchumi duniani...
Back
Top Bottom