Usi umize kichwa bure mtoa mada anajaribu kuonyesha kuwa ikiwa bwawa la Mwalimu halitoshi hadi umeme ukatike katike kila mara, basi Msimbazi ichukue nafasi, kwa Tanzania lolote linawezekana
Kwa hiyo wake za watu nao ni tatizo sasa kwa nini bodaboda wawe wahanga wa jambo hili, mwamba akigundua au kuona ni vyema adili na mkewe kwani ameombwa mara ngapi ni suala la yeye kukataa anapokubali basi mwenye tatizo ni mwanamke, wanaume wameumbwa na tabia hizo za kupenda na kuomba wachache...
Maoni yako ni dhahiri japo mimi si muumini wa siasa ni kweli kwamba TAL si mtulivu na mvumilivu katika siasa matokeo yake itapelekea yeye kuvuka taratibu na hatimaye atatumia muda mwingi kupambana na vyombo vya Dora, hali hiyo itadhoofisha harakati za kukipeleka chama mbele.
Umesema kweli halafu unakuta mshahara unapitia kwao na una mkopo ili uwalipe lazima mshahara upitie kwao, wanafungaje account yangu. Basi kuwpuka usumbufu huu kushindishwa njaa, kupoteza muda wa kufanya kazi mimi nitakwenda baada ya zoezi kuisha najua nao account yangu wanaihitaji sana tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.