Recent content by Muyegeya

  1. M

    Tujikumbushe nyimbo za Da Joah (female hip-hop emcee back in the day)

    Nakumbuka da Jo alikula chorus ya truck ya mshikaji wangu wa buguruni Malick wa neck breakers siikumbuki ile chorus mwenye kukumbuka airushe hapa!!
  2. M

    Tujikumbushe nyimbo za Da Joah (female hip-hop emcee back in the day)

    Daaaah hii tym ilikua tamu sana naikumbuka sana!!!
  3. M

    Tujikumbushe nyimbo za Da Joah (female hip-hop emcee back in the day)

    "Da Jo da Jo nimekukubaliii aaaa no nadhani hakuna hatariiii"
  4. M

    Waliosomea fani tofauti na ualimu ndo walimu wa shule binafsi

    Mkuu wale sio walimu ni wahadhili walimu wapo secondary.
  5. M

    Unga umezima ndoto za hawa wasanii wa kizazi kipya ninaowafahamu

    Kaka beat achana nayo ile c ya kitoto Ikipigwa kwenye concert ma binti wanatupisha kidogo dancing floor wabishi tutambe!!!!daa ile tym ilikua nzuri sana ukizingatia maisha yalikua kidogo angalau sio Kama sasa pia no majukumu nyumbani unadanganya tu tupo camp na marafiki tunajisomea unavuta...
  6. M

    Waliosomea fani tofauti na ualimu ndo walimu wa shule binafsi

    Kwa vijana wa mjini dar kuna mtu alikua anaitwa mkandawile mkali wa chemistry anafahamika sana kwa tuition pia alikua ni mwalimu wa chemistry kwa A level pugu boys wakati huo mm nilikua O level miaka ya 1997-2000...kama huyu aliwezaje kuwa mwalimu kwny shule ya serikali wakati serikali inajua...
  7. M

    Waliosomea fani tofauti na ualimu ndo walimu wa shule binafsi

    Mimi pia nashangaa sana..zamani wakati nipo Advance nilifikiri ni upungufu wa walimu especially science ambayo nilikua naiona sana sababu mm pia nilikua nafanya PCM lakini badae baada ya kuingia chuo nikagundua walimu wapo wengi sana na bado graduates wa coarse zingine wanaendelea kufundisha...
  8. M

    Utata wa mimba

    Naomba usome ID yako!!
  9. M

    Sitti Mtemvu ajivua taji la Miss Tanzania 2014, Lilian Kamazima amrithi!

    Nasikitika kusema kwamba tunaweza kukomalia vitu vidogovidogo ila kwa Yale makubwa yenye faida kwa taifa hatuwezi na tunaogopa kukomalia!!
  10. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Slip salary yangu inatosha kuchangia uchumi kwa income tax!!!hahahaaa eti uchumi utayumba!!!
  11. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Nipo Dar maeneo ya air port mkuu!!nitashukuru sana Kama nitapata dawa!!
  12. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Asante sana the don kwa ushauri wako...yani inanisumbua sana sababu kila nikiamka ni mjuto tu ya kutumia pesa zaidi na nilivyopanga,kukosana na watu ninaowaheshimu,kukosana na mwezi wangu kwa kumjibu vibaya nikiwa nimelewa pia zaidi ya yote I miss meditation!!
  13. M

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Mh mjomba hiyo ni majanga sasa kwa nini niache kwa fedheha!!?alafu nipigwe picha na global....!!
Back
Top Bottom