Recent content by muya os

  1. M

    Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

    Nadhani waziri afanye reference hapa je hizi tani zote zilikaguliwa kuangalia ubora wa mawe au yalijazwa kwenye container na kusafirishwa. Tuwe makini tunapo toa matamko tunaweza kutoa tuhuma kwamba watu wametorosha kumbe ni uzembe wa watendaji wakapelekea hiyo pesa kupotea hivyo kama waziri...
  2. M

    Camouflagers na informers

    Kwani nawe ni haohao avae
  3. M

    Tamthilia za Azam tv zina Udini

    Masikini hivi tido ni muislam nenda kaulize position yake pale halafu ingia upande wa finance IPP uangalie wahindi wapo wangapi usifikie conclusion bila reseach halafu by the way sheria hamkatazi mtu binafsi kuajiri watu awatakao. Ila naomba uniambie TBC katika ile top management waislamu wapo...
  4. M

    Azam Tv inapoteza mvuto

    Hivi kunamtu anateseka??? Au kunamtu alikufunga kamba kununua king'amuzi cha azamu mbona vipo ving'amuzi vinamambambio ya kutosha na kumsifu bwana hawaendi kununua acheni to go mbaya mmekuwa kama wanawake wa kizaramu kuku mle nyie mpangaji akipika anachafua nyumba kwa harufu usioipenda...
  5. M

    Azam Tv inapoteza mvuto

    Ok tumekusikia sasa unataka nini unataka na wewe uweshehe? Sikunyingine ukija hapa uje na ushahidi wa picha kama hunapicha tupa kule
  6. M

    Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Sawa ila hiyo dini unayoita ya kihuni ninamuongozo wa watu waishi vipi kati ya waislamu kwa waislamu na waislamu na watu wa kitabu na waislamu na washirikina waabudu masanamu na mizimu. Sasa wewe dini yako isiyo ya kihuni haikufundishi hata utaishi vipi na mkeo na kwa muingiliano upi uishi vipi...
  7. M

    Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Tatizo huelewi uislam uislamu unasheria inayomsimamia mtu kutoka anapozaliwa hadi anakufa uislamu ni mfumo wa maisha uliokamilika tofauti na ukristo ambao hauna sheria bali ni mahusiano ya mtu na muumba wake kwa hiyo huwezi kufananisha hivyo vitu viwili ndio mana ukristo hauonyeshi muingikiano...
  8. M

    Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Huu ni uongo uliokithiri kwani hao waislamu hawapiki futari hawawapikii wangonjwa na watoto wao wanachopinga ni kula holela mitaani na kuuza vyakula holela mitaani ila kwako nyumbani unaweza kujipikia chochote ila sio ukapike barazani barabarani ambayo kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya...
  9. M

    Vituko vya Tanga

    Ikiwa inamaanisha nini hiyo 7Road? Ndio barabara ya saba? Ukifuatilia nature ya hizo barabara ni kuanzia barabara ya kwanza sio barabara ya moja hivyo katika kuhesabu unatakiwa uweke first road second road 3rd road 4th road etc sasa unaposema 7 road unamaanisha nini??
  10. M

    Vituko vya Tanga

    Hii imepigwa leo saa tisa na nusu Barabara ya saba opposite mahakama ya mwanzo usambara ya zamani
  11. M

    Vituko vya Tanga

    Tanga maeneo ya ngamiani wameweka vibao hivi kuonyesha mitaa ikiwa kwa kiswahili na kiingereza kwa maoni yangu nafikiri kwa kiingereza wangeandika 7th Road au Road # 7 badala ya 7Road kwangu mimi hii haipo sawa viongozi wa jiji la Tanga rekebisheni hii aibu kama hatujui nafuu tungeandika...
  12. M

    Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    Kweli wewe ni mzee wa fix sijawahi kuona kijarumani kikiwa kigumu
  13. M

    Car4Sale Gari inauzwa Nissan Serena

    Gari inauzwa nissani serena namba B ipo kwenye hali nzuri sana ni PM kwa bei na maelezo mengi.
  14. M

    Volkswagen inauzwa

    Bei shilingi ngapi
  15. M

    Gwajima amtumia salamu CAG Prof Asad kufuatia ombi lake la kujengewa msikiti ofisini

    a ha uongo we we mimi Biharis ninaswali Marakibao kwenye hiyo misikiti sass we we unaleta uongo wako hapa tactual balancesheet ya bakhresa uangalie kama kunamisikiti mule achaunafiki we we Kama hujuikitu kaa kimya tukuelekeze wenyedini yetu
Back
Top Bottom