Recent content by muwezeshaji

  1. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Kamishna Nsato Marijani: Tukio la Mauaji ya Polisi Kibiti sio ugaidi, tunaanzisha Operesheni maalumu

    This is terrorism in it's infancy stage..kama hawa tadili na chanzo..polisi kumi ni wengi sana.
  2. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Siri ya jiji la Mwanza kuendelea bila msaada wa Serikali

    Mwanza inaweza kuwa logistic hub.pia usisahau ni port city..logistics hub kwa maana ya kuunganisha great lakes region kupitia air port,bandari na railway..problem ni vision ya mipango ya economy inapangwa dar kwa mtizamo finyu kwamba mwanza lazima I develop kwa mfano was dar.
  3. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Mzazi wangu alifariki miaka takribani mitatu iliyopita lakini namuona ndotoni

    Kemea..ni roho za wafu..itaathiri sana maisha yako usipofunguliwa.
  4. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Uelewa wako ni mdogo sana.unawapa moyo watu was imani ya mashariki..ambao kwao mtume ni mmoja tu..
  5. muwezeshaji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa imekua ni vita nife nalo au niwaambie wakwe?

    Inawezekana ana spiritual husband,au kwao wana roho za mitala.mpeleke afanyiwe deliverance..
  6. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Nyumba 1500 zinazojengwa Kigamboni na Milionea Mtanzania aliyeishia la 7

    Seriously...? Unahitaji msaada..
  7. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Cowards..mnafurahia sana mwenye haki akianguka..pathetic..!!
  8. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Kwa hii kashfa, Mchungaji Anthony Lusekelo (Mzee wa Upako) atajisafishaje?

    Mmetumwa nyie..coward's.
  9. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Kanda maalum ya ushirikina

    Uelewa wako wa ulimwengu wa roho unautumia vibaya,spreading black magic agenda..
  10. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Watu hamtaki ukweli..mmen'gan'gana,kana kwamba hakuna nabii wa ukweli..stiff necks..msifanye shingo ngumu,mtavunjika..
  11. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Kama kuna usiku,maana mchana upo.kama kuna wa uwongo wa ukweli wapo..
  12. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Acha kukurupuka..unatawaliwa na hisia sio ukweli..kama kawataja so what..?proof iko wapi..?mnaangamia kwa lack of knowledge.. False prophets walitabiliwa..kama wapo manabii wa uwongo ,ina maana wa ukweli wapo..one person kuandika flani ni nabii wa uwongo..lazima alete vielelezo vya kibiblia..sio...
  13. muwezeshaji

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Either upo ignorant au umetumwa..
Back
Top Bottom