Recent content by MUWA MBISHI

  1. M

    Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF) umempitisha Mussa Haji Kombo kuwa mgombea wa Urais Zanzibar kwa tiketi ya CUF

    Huwezi kuifananisha chadema na cuf kwasababu chadema ni wafuasi wa bwana ndio, cuf ni wafuasi wa kuhoji kwanza,
  2. M

    Sheikh Hamisi Mataka: Nilivyokoseshwa elimu ya Sekondari

    Hakuna kitu kama hiko, kusoma sana elimu ya dini kwa muislamu si kigezo cha kusema aipuuze elimu ya dunia.. .. Isipokua kinachofanywa ni hila na chuki za watawala ambao asilimia kubwa ni wakristo. Na ndio maana hata miaka ya juzi juzi waliamua kutuafuata mpaka ktk somo la dini, kuwakosesha...
  3. M

    Sheikh Hamisi Mataka: Nilivyokoseshwa elimu ya Sekondari

    Huo ndio uhalisia, lengo ni kukatisha tamaa lakini kwakua hakuweza kukata tamaa, alipambana mpaka damu ya mwisho kuona aalichokitarget kinafanikiwa....
  4. M

    Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

    Sawasawa lazima wakamatwe hao, wasituchezee kiini macho
  5. M

    Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    uku temeke hakukuwana upepo ila asubui'hii ndio kuna manyunyu uku hali ni shwali.
  6. M

    Zitto: Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata CHADEMA watayatafuta kwingine

    ngoma ya kitoto haikeshi, chadema ni watoto wadogo katika siasa, media ndio iliyowapandisha na kupitia mdia hiyo hiyo ndio itakayowazimisha
  7. M

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    big up! tunahitaji wanasiasa wakomavu kama hawa, nahisi ndio wataoweza kubadili mwenendo wa siasa hapa nchini kwetu, namkubali sana zkk na dr kitila kwa jinsi walivowasilisha uamuzi wao, sio kama kina Rostam aziz ambaye alisusa na kuachana mbali na siasa, ukiamua kuingia katika siasa unatakiwa...
  8. M

    Said Arfi - Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ajiuzulu rasmi!

    Ha!ha!ha!teh!teh! pplezzzzzzzzzzzzzzzzzz...............! "Powaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!........" Aliyekula kalaaa...................!!!!
  9. M

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    "Mbona haya yameshatokea CUF,mnamkumbuka Hamad Rashid,Politics is a dirty game " huyu alikuwa anajaribu kutumia mbinu za kumfanya awe kiongozi lakini kwa kuchaguliwa kidemokrasia, kwahiyo alikuwa akijaribu kuenfluence wawe upande wake, Hamadi Rashidi yeye hakutaka hata huo uchaguzi wenyewe...
  10. M

    Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Uyo Ufo ajue kuwa wote ss ni watu wazima na akili zetu timamu, kama ameamua kuweka kila kitu dhahiri basi aeleze ukweli hata kama yeye ana makosa, ili tupime uweo wa kosa na adhabu aliyotakiwa kupewa ni sahihi au lah... lakini si kutufunika funika. lolote litokealo huwa halikosi sababu/chanzo...
  11. M

    MOMBASA: Muhubiri wa kiisilamu auawa kwa kupigwa risasi

    mtafanya nini ndugu zangu, mshafanya mangapi tangu mchomewe hayo makanisa? dunia nzima waislamu huwa ndo wanaanzishaga tifu tifu pindi wanapoona haki zao hudhulumiwa, mi cjawahi kusikia wakristo kama washawahi kufanya hivyo, sisi waislamu tunachoamini kufa kwa ajili ya kutetea dini ya Allah basi...
  12. M

    Ponda havumiliki

    ila greater thikers wanatakiwa watoe majibu ya dizaini gani, mtu hasumbuki na -------- ndo maana ukajibiwa kulingana na upuuzi wako, hilo nalo linahitaji mtu aende shule, hivi unaweza kuniambia how can u be so'sure kama kote uliposema ameleta uchochezi? Kwa propaganda za media au? Umeshawahi...
Back
Top Bottom