Sikushuka kwa sabab nimemaliza mkataba bali nilishuka ili kuweka sawa baadh ya vipengele na nilichagu vyuo vya ufilipino kwa sabab nilijua muda huo nitakua pale alaf kuhusu hiyo sheria inayosema si kila baharia anapanda meli yenye ruti ktk bandar ya nyumban
Kwa mtazamo huo visiwa vya unguja na pemba vingekuwa vimeshajaa watu kwa sabab jamaa wapo vizur kwenye kuzaliana na wazanzibar wangekuwa vinara wa deep state ya tanganyika
Mimi hapa muuza viatu nilikua mbishi kwa kuukataa ukwel mchungu kuwa nimefilisika hatimaye nimekubali kuwa nimefirisika biashara zangu zote zimekufa.
Mwaka 2022 soko liliungua kinomanoma na mimi nikiwa miongoni mwa waathirika kutokana na presha kwamba labda tunaweza tukazuiwa kurudi kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.