Recent content by MUUNGWANA MKUU

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina mbuzi zaidi ya 900 dar, nauza bei nafuu sana!!!ofa ya 2014

    Kwa mdau uliyeuliza kama nachinja kabisa jibu ni kwamba hapana,Mimi nauza mzima hivyo kuchinja ni juu yako.Mdau wa Moro bei ya soko Moro ipo chini kidogo kwa kuwa gharama za uendeshaji zipo chini pia.Mdau wa kufuga,njia ni rahisi,muhimu kujipanga vizuri tu kwa kuwahudumia vizuri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nina mbuzi zaidi ya 900 dar, nauza bei nafuu sana!!!ofa ya 2014

    Wadau, Heri ya Mwaka Mpya Katika kupambana na maisha ili kupunguza msongo wa mawazo wa kutegemea mshahara mwisho wa mwezi, nilianza ufugaji wa mbuzi na sasa nina zaidi ya mbuzi 900 katika mabanda yangu hapa dar es salaam na wengine zaidi ya 1500 kwenye mabanda yangu mkoani Morogoro. Ili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina mbuzi zaidi ya 900 dar, nauza bei nafuu sana!!!ofa ya 2014

    Wadau katika kupambana na maisha ili kupunguza msongo wa mawazo wa kutegemea mshahara mwisho wa mwezi, nilianza ufugaji wa mbuzi na sasa nina zaidi ya mbuzi 900 katika mabanda yangu hapa dar es salaam na wengine zaidi ya 1500 kwenye mabanda yangu mkoani morogoro. Ili kuboresha huduma na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauza nyumba Madale kwa Magaigwa

    Wana JF Habari Nimepata safari ya kwenda nje ya nchi kikazi na nitakuwa huko kwa muda wa miaka 5. Nina kiwanja nilichokinunua mwezi April mwaka huu na kuanza kujenga mwezi May. Kiwanja kimepimwa na documents za kutafutia Hati zipo katika mchakato Ardhi Kinondoni. Kwa kuwa sina mtu wa karibu wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Idea ya BIASHARA .....

    Haya mkuu Kama upo Dar na unaweza ufugaji nitafute. Nina mabanda hapahapa Dar es Salaam Mbuzi wanauzwa minadani Morogoro, Dodoma, Mkata nk kwa Tsh 40,000 mpaka 60,000 Mimi nitakupa gari langu pickup uweke mafuta (petrol) ya 150,000 kwenda na kurudi Ukinunua mbuzi 30 kwa tsh 50,000 kila mmoja...
Back
Top Bottom