Nauza nyumba Madale kwa Magaigwa

Nauza nyumba Madale kwa Magaigwa

Joined
Aug 15, 2013
Posts
5
Reaction score
5
Wana JF Habari
Nimepata safari ya kwenda nje ya nchi kikazi na nitakuwa huko kwa muda wa miaka 5. Nina kiwanja nilichokinunua mwezi April mwaka huu na kuanza kujenga mwezi May. Kiwanja kimepimwa na documents za kutafutia Hati zipo katika mchakato Ardhi Kinondoni. Kwa kuwa sina mtu wa karibu wa kumuachia aendeleze ujenzi na kufuatilia Hati, nimeamua niuze nyumba mpaka ilipofikia. Ramani ya nyumba ni ghorofa moja na nimeshamwaga Slub ya juu hivyo bado kumalizia sehemu ya juu na kuezeka. Kibanda cha mlinzi kipo tayari na ni Master.
Bei ni maelewano
Kwa anaetaka kuona picha anicheki ktk simu no 0767 87 60 86 ili nimtumie picha kwani nimejaribu kuzi-attach hapa nimeshindwa
Shukrani




 

Similar Discussions

Back
Top Bottom