Recent content by Muuhyul

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Sikukuu tusherekee sisi kuteseka unateseka mkereketwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Hakuna anayeteseka nyinyi kula kitimoto, ni insecurity zenu tu ....,halafu suala la BAKWATA linatuhusu sisi walengwa na sio nyie wakereketwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Nakazia wekeza kwenye imani yako,acha kupoteza muda kukosoa kwenye imani isiyokuhusu inaonyesha ni kiasi gani ulivyo dhaifu wa kiimani...."Pilipili usioila inakuwashia nini"
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Wekeza kwenye imani yako, mambo ya waislam tuachie wenyewe....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Siwezi kuteseka.... ila pilipili usioila inakuwashia nini?.....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

    Kufunga wafunge waislam ila muandamo wa mwezi wanaulizia wasio waislam.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tujifunze pamoja na tuelimishane kuhusu program ya Excel

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kusort data kwenye excel
  8. M

    JamiiForums Tanzania Meya afika kwenye madanguro Mwananyamala, Wadada wanaojiuza wakimbia

    Buibui ipo mwananyamala
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

    Ukumbuke kuwa ukubwa wa eneo la Lindi ni mara mbili ya Mtwara
  10. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    Booking,release order na shipping order ni nini? Na nani anahusika kuandaa na gharama zake zipoje?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    Procedures na document zinazotumika kwenye exports
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje kukaa gheto?

    Kama hichi bei gani chief?
  13. M

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Nyasa Big Bullets (Agg 4-0) | CAF Champions League | Mkapa Stadium

    Kama nyie mnavyompraise chama
Back
Top Bottom