Hii bendera ilikuwapo. Alikuwa nayo mtoto wa mama mahela / mzee Mahele anaitwa Andrew katika viwanja vya basilika ya mt. Pita. Na alisimama karibu na njia kati ya njia ambazo Pope alipita wakati wa kuingia akibariki watu. Na baada ya misa watanzania wengi wakiwamo walei, watawa na mapadre...
Baada ya utafiti wa muda mrefu na wenye kina bila kuathiriwa na maamuzi mbele, aliye sasa mkuu wa mkoa mmoja kusini mwa Tanzania afaa kuiongoza nnchi ya Tanzania 2015. Na huyu si mwingine bali ni Kanali mstaafu J. Simbakalia.
Hii inatokana na uwezo wake, muono na upeo wake, ukweli wake bila...
Ushindi huu wa Mabwepande ni Kiini macho tu kwa wenye mtazamo mrefu na mpana. Walivyofanya maabwepande ni sawa naa uchuguzi wao ndani ya chamaa chao.
swali je kulikuwa na uwanja sawa kwa kila chama.
katika suala la uwajibikaji kila chama kinapaswa kuwajibika , lakini zaidi yule aliyepoteza. Yupi wakupongezwa aliyepiga hatua mbele au aliyerudi nyuma. aliyerudi nyuma hata kwa nusu hatua ana mapungufu makubwa.
Tukilinganisha na mwaka 2010 je wapinzani wameongeza kura zozote au zimepungua ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.