Hapa suala lililo kubwa ni kujua uonevu gani wa haki za binadamu amefanya Mh. Makonda. Bila hilo kuwekwa wazi na Marekani, mijadala yetu itakuwa ya bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bunge sio Ccm na spika wa bunge sio mwenyekiti wala katibu wa kuweka kumbukumbu za chama. Swali la vikao vya chama linapaswa kuulizwa kwa mtunza kumbukumbu za chama.
Kutuangusha!! Waafrika ndio wanaotuangusha zaidi maana wanaopewa dhamana ya utawala hawafuatilii majukumu yao. Na wengi wao wanaiga na kutaka kuishi maisha ya kifahari kuliko ht wazungu.
Ni kweli nayaheshimu mawazo ya watu wanaoandika kwenye mitandau, lkn wakati mwingine nashangazwa na wanasiasa hasa wa vyama vya upinzani wanapoongelea suala la DEMOKRASIA. Wanaifafanua kama vilekila mtu anapaswa kufanya anavyotaka ktk jina la demokrasia. Ktk utawala wa sheria (rule of law) kila...
Mmm! Unataka kukimbilia vyombo vya uchunguzi kutoka nchi za nje, kwani vyombo vya ndani ya nchi vimeishashindwa? Waziri mku wa Sweden (Olof Palme) aliuawa 1986 hadi leo hawajampata muuaji na vyombo hivyo unavyovitaja vimetumika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.