sasa hii nayo inanifanya nipate shida kidogo na pengine nadhani kunatatizo mahali, kama tunogopa hata vichwa vy habari je tutaweza kuwafukuza wanotuibia mali zetu, wanotunyanyasa, wanao waacha mama zetu na wadogo zetu wanapoteza maisha mahospitalini bila huduma, wanowaacha ndugu zetu wanakosa...
lengo langu hapa nataka tujue ni kwa jinsi gani sisi na viongozi wetu hatuna mfumo wa mawasiliano na uratibu wa shughuli za serikali. mfano katika hoja yangu nimeonyesha ni kwa jinsi gani mamlaka za serikali zinavyojichanganya.
upande wa pili nimeonyesha ni kwa jinsi gani suala hili linavunja...
Kwa kipindi kirefu sasa Tanzania na Mtaifa mengine yamekuwa yakilia suala la ukosefu wa ajira kwa vijana. lakini sisi tumefanikiwa kupata njia rahisi ya kupunguza tatizo hilo hasa kwa kada za vijana wasio na ujuzi maalumu. inasemekana zaidi ya ajira 600 zinaongezeka kila siku kutokana na boda...
Sina shida na haki ya mtu ya kidemokrasia ya kugombea au kuchaguliwa au kuteuliwa, au hata kuajiriwa katika nafdasi yoyote hile. shida yangu ni haya mazingira ya kurithishana nafasi katika utumishi wa umma kwa mgongo wa chama na familia. katika uchanguzi mkuu 2010 suala hili lijitokeza majina...
shida yangu sio tofauti ya "state" au "public" shida yangu ni ufanisi. kwa sababu hata hiyo state inaown kwa interest ya nani? kimsingi state/dola ni la kila mtu hata huyo private. lakini ukiangalia tafsiri ya state owned interprise kwenye enterprise management utaona inamaana sawa na public...
Ubinafisishwaji ni tendo ambalo linahusisha kuamisha mali ya umma ama moja kwa moja au sehemu ya mali hiyo kutoka kwa serikali kwenda kwa wadau binafsi. Lengo kuu ni kutaka kuleta wadau wengi zaidi katika shughuli au mali husika. mfano kama shirika linalotoa huduma ya jamii kama Tanesco...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.