Recent content by MUTAKANGWA

  1. M

    Tofauti kati ya Engine Zenye 1290cc na 1490cc -IST

    Je vp katika matumizi ya mafuta Utofauti wake ukoje
  2. M

    Tofauti kati ya Engine Zenye 1290cc na 1490cc -IST

    Habari za leo wadau Swali langu kwenu ni kutaka kujua tofauti iliyopo kati ya engine za IST zenye 1290cc na 1490cc. Nini hasa kinachotofautisha aina hizi za injin? Je ni katika matumizi ya mafuta tu ama kuna vitu vingine vya ziada. Naomba msaada wenu tafdhari Natanguliza shukrani
  3. M

    Jinsi ya kuweka number kwenye black list kwenye Android Phones

    Tatizo hiyo call blocker inakuwa kama unamkatia mtu cm. Mi nataka asinipate kabisa
  4. M

    Jinsi ya kuweka number kwenye black list kwenye Android Phones

    Heshima kwenu wanajamii. Naomba mwenye ujuzi wa kuweka namba kwenye black list ili akipiga asinipate. Nili install call blocker haikunisaidia. Natanguliza shukrani.
  5. M

    Cue club.

    Habari za Leo wanajamii. Nahitaji hii game. mwenye setup ani pm niweze ku-install. Natanguliza shukrani.
  6. M

    Inahitajika Brand New Laptop

    Kwa specifications hizo laki tano ni ndogo sana. Hata kama ni budget laptop bado haitafika hapo.
  7. M

    Haki ya mfanyakazi pale mkataba wake unapokatishwa.

    Ndugu zangu wanajamii naomba kujuzwa kuhusu hili. Mfanyakazi anakuwa na haki gani ama kama kuna malipo yoyote pale mkataba wake wa kazi inapokatishwa ghafla.
  8. M

    Nini maana ya D-4 VVTi; Engine

    Ndugu. Naona unaweza Kuwa wa msaada mkubwa hapa. Ingefaa sana kama ungeziainisha aina za engine zinazofaa kwa mazingira ya hapa kwetu Tanzania. Shukrani.
  9. M

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Asante wadau ntafanya kama mlivyonielekeza
  10. M

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Heshima kwenu wanajamii. Mara nyingi huwa natumia IDM kudownload YouTube video ila huwa inanipa option ya 360p na Mara cha he 480p. Nimejaribu kutumia Eagleget na IlliVid ila imeshindikana. Mwenye ujuzi jinsi ya kupata YouTube video katika formats tajwa hapo juu atuwekee hapa. Natanguliza...
  11. M

    Msaada PC games

    Heshima kwenu wanajamii. Naomba mnijuze wauzaji wa CD za PC games hapa dar au kama wapo kwenye jukwaa wajitokeze tufanye biashara. asanteni.
  12. M

    NFS most wanted 2005-Msaada

    Heshima kwenu wanajamii. Nimedownload NFS most wanted 2005 torrent file kwa kutumia u torrent. Naomba msaada wa hatua za kufuata kukamilisha process nzima ya installation. ahsanteni.
  13. M

    Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Mi natumia IDM ila nashindwa hainipi option ya 1080p. nifanyeje na hiyo ndo nahitaji.
  14. M

    Msaada - Downloading torrent files with IDM

    Natumaini ni wazima wa afya. Naomba yeyote mwenye utaalamu wa hiyo kitu hapo anipe ujuzi. Thanx
  15. M

    Msaada tutani

    For live TV download Sybla TV . iko play store.
Back
Top Bottom