Recent content by muta

  1. M

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    kikwete alikataa maswali hapa uk kwa kuogopa kuhulizwa hili swala,lakini namkumbusha alipo hulizwa akiwa waziri wa mambo ya nje na bbc world services na alivyotetea hilo swala. swali langu kwake je mpaka sasa anaendelea kuitetea hiyo deal kama alivyofanya mwanzo?
  2. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    swala la zanzibar ni bom linalo subili kupasuka,sababu za nyerere kufanya muhungano kwa sasa hazipo tena moja wapo ikiwa ni ulinzi. zanzibar lazima tuachane nayo.ina matatizo mengi sana .kwanza vizazi cha sasa cha wazanzibar kinapotea wengi wapo canada ,uk ,usa,nk.nchi imeuzwa kwa...
  3. M

    Hotuba za Rais kila mwezi

    jk jifunze kuwa makini katika kazi yako impression ya mwanzo watu watakujaji unavyo jieleza.na uelewe umebeba maisha ya watanzania 34million,please acha mzaa katika utendaji kazi.ikiwezekana tumia muda mwingi kufahamu mada zipi unaenda kuzitoa mbele za watu'kama uwezi jifanye unaumwa tuma...
  4. M

    Hotuba za Rais kila mwezi

    sina lawama na jk ila nyie mlio chagua,lazima watanzania mjifunze dunia inaenda kasi nchi hinahitaji rais anaye elewa mambo mengi kwa upana.
Back
Top Bottom