Recent content by mussavin1

  1. mussavin1

    Msaada wa pastpaper'A"level

    Naomba mnisaidie kupata past paper ,hata km itakua na gharama nazihitaji sana ndugu zangu..hist,geo,eng,math,gs,econom,,1&2
  2. mussavin1

    Nahitaji viatu kwa bei ya jumla

    Nipo dar es salaam nahitaj viatu vya kike kwa bei ya jumla
  3. mussavin1

    Msaada: Kilimo cha miti ya mbao

    Mimi ni kijana wa miaka24 maisha yangu napenda sana kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji, nimefanikiwa kupata ardhi inayoniwezesha kufanya kilimo na mimi nimefikiria kupanda miti ya mbao na miembe ya kisasa ila sina ufahamu wowote kuhusu kilimo hicho, naombeni mnisaidie elimu ili nipate ufahamu...
  4. mussavin1

    Naombeni msaada kuhusu soko la kuku

    Mm nnamifugo ya kuku wa kienyeji na sasa nakaribia kuvuna ,,,je nifanye ili nipate soko endelevu na lenye mzunguko mzuri? nipo kisalawe#
  5. mussavin1

    Natafuta shule ya sekondari "A"level

    samahan nmetafuta mawasiliano nmekosa naomba nisaidie
  6. mussavin1

    Natafuta shule ya sekondari "A"level

    asante je unaweze kunisaidia mawasiliano yao
  7. mussavin1

    Natafuta shule ya sekondari "A"level

    Naombeni mnisaidie nipate shule ya sekondary"HGL" mkoa wowote ila ada isizidi milioni1,,mtt wa kiume
  8. mussavin1

    Msaada wa wa kupata shule ya bei rahisi

    Jaman naombeni mnisaidie shule ya bweni "A level"hgl yenye ada kuanzia milion1 kushuka chini mkoa wwte#mtt wa kiume,,ntashukuru kwa msaada wenu#0621007869
Back
Top Bottom