Recent content by mussaaaaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo binafsi na nyonyefu

    Gharama au ni utapeli?! siyo kwa vile jukwaa ni huru badi uongee tuu kwakua nafasi ni ya bure, hauna mchango chanya nyamaza. Milioni 7.7 kwa miloni kumi na tisa ilipwe kwa miaka minne alafu uje upandishe/umuwekee kwenye account mkopo bila ridhaa ya mhusika wa milioni 1.57 akulipe kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuomba uhamisho kwa barua kwa case maalum

    Mfumo uliobinafsishwa!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Utumishi wa Umma na TAMISEMI mtutendee haki katika Suala la UHAMISHO WA WATUMISHI

    Na kwa hii hoja kinachovunja moyo siyo tuu hizo konz kona zao, ila kuna watu hata kuidhinishwa hawajaidhinishwa na tayari wamekamilisha uhamisho.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Kupandishwa daraja siyo tu haki, bali pia ni motisha muhimu inayoongeza morali na ufanisi kazini, mfumo wa PEPMIS uangaliwe

    Ninadhani kama ulikua hauna hoja chanya ungebaki kimya wala isingekupunguzia kitu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Responded Waraka wa Katibu Mkuu kuhusu MUDA WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA UHAMISHO KUPITIA MODULI YA e-UHAMISHO

    Haya ni maneno kama yalivyo maneno ya jukwaani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo binafsi na nyonyefu

    Sidhani kama nimeeleweka ama sijajielezea vizuri!. Hawa mabwana walinipigia cm wakanadi huduma zao, lakini walivyofanya ni tofauti na walivyojinadi. Na hapakua na kitu cha bure hapo. Wapi kapata namba zangu, wapi kanijua ninaitwa Nani na nimeajiriwa halmashauri ipi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo binafsi na nyonyefu

    Ninaomba msaada wa nini nifanye, pesa yao ambayo ni milioni 1.57 sijaitumia bado
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo binafsi na nyonyefu

    Ninaomba msaada wa nini nifanye, pesa yao ambayo ni milioni 1.57 sijaitumia bado.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo binafsi na nyonyefu

    WADAU. Ajira mpya serikalini tunanyonywa sijui ni kwa ufinyu wetu wa maarifa au nitakua mkosefu sana kwa kusema kuna mapapa walioweka mifereji kwa kufanya mifumo rasmi iwe migumu na kutumia huo ugumu kama faida kwao kwa kutunyonya sisi. Ni ngumu kusema ni mtu wa nje ya mfumo kwakua...
Back
Top Bottom