Recent content by Mussa rapper

  1. Mussa rapper

    Naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB ili kupata kadi yangu

    Tatizo ni huduma ya ofisi au tawi husika ndo panapokuwepo uzembe mkubwa.
  2. Mussa rapper

    Naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB ili kupata kadi yangu

    Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi? Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku 10 nimeenda kadi imetumwa wilaya nyingine ni jumatano ya weeki iloisha nikaambiwa niijie ijumaa yani...
  3. Mussa rapper

    Kupata kadi ya NMB kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani?

    Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi? Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku 10 nimeenda kadi imetumwa wilaya nyingine ni j5 ya week iloisha nikaambiwa niijie ijumaa yani leo...
  4. Mussa rapper

    Kwanini Wanawake wanawavumilia Wenza wao wanaowapiga?

    Ndo mwanzo wa nyie wenyewe kuongeza single maza mtaani kwa ushawishi wenu
  5. Mussa rapper

    Dkt. Mpango: Askari wa Barabarani wakianza kuvaa Kamera itapunguza Rushwa

    Mimi kama driver nitatambua vp kua hiyo camera alovaa haijazimwa ipo ON?
  6. Mussa rapper

    Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Ni kweli japo mara nyingi hawakuweki wazi kua wanazo japo wanakusindikiza kua nenda duka flani kanunue hapo ndo kuna dawa nzuri na ukifuatilia hayo maduka anakua ni mhusika pia
  7. Mussa rapper

    Jinsi ya kufahamu kama simu yako au line yako inafatiliwa na mtu mwingine

    Good idea my brother thanks a lot for that, always JAMIIFORUMS is the biggest.
  8. Mussa rapper

    Kazi EWURA

    Tulioomba leseni Ewura tunazipataje
Back
Top Bottom