Eti ni waisrael 144, 000 tu!!!!!! Braza biblia ni msitu mnene haisomwi kama gazeti. Ukisoma mwanzo 13-18 utakuta Mungu anamwambia Ibrahimu uzao wako utakuwa kama mchanga na nyota mbinguni. Mtu akiweza kuhesabu mchanga bac ataweza kuhesabu hata idadi ya uzao wako. Unachotakiwa kufanya ni kidoma...
Kuna dada anaitwa Joyce emmanuel yesse kapoteza vitambulisho vyake vimeokotwa maeneo ya posta. Kuna kitambulisho cha chuo ardhi university anasoma environmental science and technology pia kitambulisho cha uraia na vitambulisho viwili vya bima ya afya. Kwa yeyote anayemfahamu amwambie afike...
Wanawadanganya watu wanaojaa kwenye mikutano, kama ndivyo mrema angekuwa rais 1995. Ukweli ni kwamba kuwa chama kikuu cha upinzani si kazi ndogo, tambua kuwa kuna watanzania wasiojua hata uwepo wa act. Lakini yote heri kazen buti ss watazamaji tupo na tutashuhudia
Wewe ni msomi wa aina gani usiyeweza kujenga hoja bila kuandika matusi, ukitaka watu wakuelewe jenga hoja ueleweke. Sasa ww unaandika matusi ndiyo maana wenzako wanasema unatumia ID fake, huwezi andika matusi hayo kama unafahamika kwa kuwa ndugu zako watakushangaa
Hakika ww unastahili kwenda milembe, ivi unafikiri mtu aliyeelimika anapimwa kwa cv. Unachokiandika hapa kinathinitisha utahira wako hata kama ww ni prof.
Hatuwataki wanaoabudu matambiko. Kwenye tukio mhimu kama hili unakaribisha watu wa matambiko? Hakika huku ni kukosa matumaini. Hatutaki rais wa wachawi tanzania
Kwa kweli wabunge wanatakiwa kuwa makini sana na kauli zao hasa katika kipindi hiki. Liziwan hakutakiwa kuweka msimamo wake hadharani wakati anatambua kabisa baba yake ni rais. Hii inaleta maana kuwa huo ndio msimamo wa baba yake. Upepo wa kisiasa hubadirika hivyo ni vizuri kuwa na uangalifu wa...
Nimesoma post nyingi sana hapa jf za kumkubali na kumkataa mh. Lowasa. Ila cha ajabu wanaomkataa lowasa hawasemi ni nani hasa anaweza kuchaguliwa ndani ya ccm mwenye uwezo wa kuchuana na upinzani. Inaonekana maji yamewakaa shingoni hawana la kusema. Sasa tuwe wawazi semeni sasa nani ni mbadala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.