Hellow wana JF nipo kwenye kampuni ya vifaa vya ujenzi aina zote bei nafuu tunatengeneza step tiles na head stones (makaburi aina zote) pamoja na kuweka picha na maandishi bila kusahau nina mashine ya kukata tiles na marbles, skirtings (mikanda) na tangastones kwa size unayotaka......+255719784767
kodi ni kubwa na biashara zinashuka kwa kukosa wateja....makampuni yanafukuza wafanya kazi kwa kupungua operations zao watu wanaongezeka wasio na ajira na hata hao wenye nazo makato kila kona na kila kitu ghali 18% VAT sio mchezo
alikuwa analipwa mshahara kwa miaka yote 9 na NSSF inapelekwa kama kawaida kulingana na kiwango chake cha mshahara ila tu pesa inatolewa locally yaani unapewa tu pesa bila Pay slip wala salary slip.....kampuni inaendeshwa kienyeji hawapewi mikataba afanyaje mkuu??
hellow guys ukifanya kazi zaidi ya miaka 9 kwenye kampuni bila mkataba ila tu malipo ya NSSF kupelekewa kama kawaida na mshahara usio na salary slip ukija kuachishwa bila sababu una haki zipi kisheria
1) WAR CRAFT
2) CAPTAIN AMERICA :CIVIL WARS
3) EYE IN THE SKY
4) BATMAN VS SUPERMAN
5) CENTRAL INTELLIGENCE
6) ZOOTOPIA
Hizi kwa upande wangu mpaka sasa
Hellow kwanza jua nyumba ya vyumba 5 sio ndogo standard ni nyumba 3 vya kulala na kwa uzoefu wangu wa kuwa kwenye kuuza vifaa vya ujenzi kiwango cha chini kabisa ni 70 million mkuu hapo umemaliza unahamia..... na ukitaka kifahari zaidi (quality products kwenye finishing ) ni over 120 million
Tuna tiles aina zote za bei nafuu kuanzia za UAE na china Grade A (sio good one) za chini na za ukutani...skirting zake na marble aina zote na pia tuna machine kubwa ya kuchonga tiles au kuweka mistari ya step au hata kuchonga mikanda (skirtings)....Tupo mbozi Road industrial Area karibu na kioo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.