Gang at work, pole Sana, Sasa ni muda wa Watumishi nao kuenjoy keki ya Taifa. Usiteseke Sana my sister
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Cherehani Used ipo katika Hali nzuri inauzwa laki moja na 60 (160,000/=)
Inapatikana Dar es Salaam Msongola Stand nicheki 0658566851
Aina ya Butterfly.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
JOHN P.JOSEPH MAGUFULI.
Two days to go!
Amechagua kuwa sadaka ili taifa lipone,
amekuwa sauti ya waliosetwa,amewahurumia wanyonge na wasio na sauti!
Amepooza masononeko ya waliodhulumiwa,
Japo kwa uchungu na upinzani mkubwa,amelirudishia Taifa hadhi na heshima yake!
Dunia na Africa...
Tabora 01/01/2018
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) umesema wananchi wanaopata bahati wabunge wao kupewa majukumu mengine ya kiserikali viongozi wa Chama na Serikali wana dhima ya kumsaidia na kufanya kazi za kuwatumikia wananchi.
Pia umoja huo umeeleza kiongozi anayemtegea kazi mwenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.