Recent content by musobi j

  1. M

    Nape Nnauye, Jitokeze useme kama umeshapata Familia yako

    Ninamjua mama yake hata kwa sura! Amekuwa akiishi na kufanya kazi katika idara ya elimu wilaya ya Kwimba, mkoa wa Mwanza! Na hilo Marehemu Nnauye basi kweli aulizwe mzazi! Na Nape akane kama si kweli mama yake anaishi ngudu mjini maeneo ya halmashauri kwenye flats za watumishi! Sent from my...
  2. M

    Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    Ni vigumu kumuweka kuwa mtuhumiwa, ila kisheria anaweza akawa third party to commission of an offense! Sasa inakuwa ngumu kumchukua direct kama mhusika japo hapo baadae anaweza akawa as a witness who inspired others to commit an offense! Inatia hasira kuwa sehemu ya dini inashabikia tena kwa...
  3. M

    Picha - Shonza/Mwampamba UVCCM - waliobaki wawafuate

    Siuoni umuhimu wa kuwajadili hao! What they do si playing with our mind! Ninawajua kiasi hao vijana! They want to get advantage kwa kuweka threads zao na kwakutokujua nasi tunawajibu! Kwa kufanya hivyo tu tunajikuta tukiwafanya waendelee kuwepo katika ulimwengu wa midomo na mawazo yetu! Silence...
  4. M

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Hali hii ilitabiriwa zamani na wenye maono ya mbali! Marehemu babu yangu(RIP) aliwahi kuniambia kuwa nchi yetu imekuwa katika mikono isiyo salama! Tangu huyu baba ameichukua nchi mambo ya ajabu ya udini na utukuka yamekuwepo! Hili ni zao la imani na ujinga wa wachache! Mungu ilaze roho ya...
  5. M

    jukwaa la siasa

    I'm so happy to join you member of this land of the clever! Hope to learn a lot from you guys!
Back
Top Bottom