Recent content by MUSIGAJI

  1. MUSIGAJI

    Dunia inaniadhibu, nahitaji kuchukua maamuzi magumu

    Pole sana Mkuu,Tambua kwamba nyakati ngumu marshani zipo. Husiikimbie familiya yako katika kipindi hiki. Nakushauri geukia masokoni tafuta pahali palipochangamka Anna kuchukua matunda uza na mengine kata uza ya vipande. Nyakati ngumu hazidumu mkuu. Husilipie kodi hapo kwenye flemu, hiyo milioni...
  2. MUSIGAJI

    PreGE2025 Swali kwa CHADEMA: Suppose kesho CCM for that matter serikali inaamua kuweka tume huru kama mnavyopendekeza, mtafayaje?

    Pia CHADEMA kupitia NO REFORM NO ELECTION itakuwa imefanikiwa kuandaa mazingira mazuri ya 2030.
  3. MUSIGAJI

    PreGE2025 CHADEMA chini ya Lissu wamefanikiwa kwa kishindo

    Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi...
  4. MUSIGAJI

    Ushauri kwa ACT-Wazalendo baada ya kuwa Chama kikuu Cha upinzani Oktoba 2025

    Kuwa chama kikuu cha Upinzani si lazima iwe kwa tafsiri yako hiyo kwamba kwakuwa CHADEMA haitashiriki na ACT kushiriki na hivyo ikipata viti viwili Bungeni inatosha kuwa Chama kikuu cha Upinzani. Kuwa chama kikuu cha Upinzani ni kuwa na wafuasi na wanachama wengi zaidi. Kitendo cha CHADEMA...
  5. MUSIGAJI

    PreGE2025 Ushauri kwa Lissu kuhusu G-55

    2020 Timu ilipoingia uwanjani CHADEMA ilipata Wabunge wangapi wa kuchaguliwa?
  6. MUSIGAJI

    PreGE2025 Uchaguzi mkuu kufanyika hata kikiwa chama kimoja tu ndio kinataka uchaguzi vingine vyote havitaki

    Mkuu kwani shida iko wapi si CHADEMA imewaachia muendelee na Uchaguzi?Mbona nyinyi ndio mnaolalamika tena?
  7. MUSIGAJI

    Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

    Wasome Gazeti la Mwananchi la August 21,2016. Wataona hiki ulichokiandika mkuu.
  8. MUSIGAJI

    Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

    Someni gazeti la Mwananchi la August 21,2016. Hapo utapata simulizi ya Askari mstaafu aliyekuwa anafanya kazi Maalum ya kutekeleza hukumu ya kifo,alifanya kazi hiyo kwa miaka 22
  9. MUSIGAJI

    Usijidanganye ati hukumu ya kunyongwa hadi kufa Huwa haitekelezwi Tanzania

    Mkuu,ninakubaliana na mtoa mada. Gazeti la Mwananchi mwaka fulani liliandika mahojiano na Askari mstaafu wa Magereza ambaye alipata ajira kazi Maalum ya kunyonga na alieleza jinsi alivyokuwa akitekeleza majukumu yake. Kupitia makala ile,nilielewa kwamba hukumu hiyo huwa inatekelezwa vizuri tu...
  10. MUSIGAJI

    Chadema kurusha Jambo lao ITV na Redio One, Usikose

    Nami nitakuwa natazama Live
  11. MUSIGAJI

    Wanaosema Mbowe amegoma kukabidhi Ofisi wasome hapa, Ni vema kuuliza kwanza kabla ya Kuropoka

    Mkuu ukisikia kiburi cha uzima ndio hiki sasa. Muombe sana Mungu akusamehe.
Back
Top Bottom