Recent content by MushyNoel

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Nasdaz Nyerere alifanya mazuri kwa wakati wake.Kwa mfano nyerere ametujengea misingi ya amani na umoja tunaojivunia mpaka leo.La sivyo Tanzania ingweweza kuwa kama Kongo mana ina ardhi na madini yanayoweza kupiganiwa na nchi nyingine ndani ya ardhi yetu .Sawa huenda alikuwa na madhaifu yake na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Advocate Nyaga Mawalla utata mtupu

    Kwa mawazo yangu azikwe Marangu. Kwa sababu inawezekana kweli alikuwa na ugomvi na baba yake lakini Mzazi hataki kuendeleza ugomvi huo tena na anataka mtoto wake azikwe nyumbani .Sasa marehemu hayupo lakini watu wengine walioko hai wana haki ya kuunganisha familia sio kuendelea...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Rwanda na Kagame kwa ujumla (tofauti na wengi wajuavyo)

    Madesa, Ukweli ni kwamba Rwanda wamepiga hatua.Kubali.Then inaelekea una kinyongo ulichokipata Rwanda ukaona mahali pa kutapikia ni hapa jamvini
  4. M

    JamiiForums Tanzania LOWASSA Vs CCM: CCM Wakati Ni Sasa Wa Maamuzi Magumu ya Kusuka au Kunyoa!

    Malechela Acha hasira....tunamtaka Lowasa kama raisi wa Tanzania
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Ulitaka serikali ikawashike mkono waislam na wahindu iwaambie njooni tuweke makubaliano ya maridhiano? Cha msingi hizo taasisi za kikristo hazifunngwi kuingia makubaliano na serikali pia kadhalika hawanyimwi.Na makubaliano sio kurudisha shule maana hata wakristo shule zao nyingi bado...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Daima: Kama CHADEMA ni Wachagga, CCM ya Waislamu?

    Mwanakijiji umeandika vema ,Hongera! Tatizo ninaloliona ni philosofia ulioitumia kwani upeo wa hii thread unaweza kuwa juu sana kwa vichwa vya panza ( visivyofanya tafakuri pana ) vitaishia kutokuelewa na pengine watukane .La kufurahisha ni kwamba kwenye JF tunataka mada pana na za kichambuzi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Madai ya Wazanzibari 15 na Yasemwavyo kuhusu Muungano na Hatima Yake

    Tatizo la muungano wetu ni watu kutoachiwa kuongea yote ili tatizo lionekane liko wapi .Pengine wazanzibari wanajua Historia vizuri! Jumamosi katika kipindi cha Star TV ambapo walikuwa wanajadili mambo ya Muungano ,Mzanzibari mmoja alipiga simu akasema '''Wakati ule nakumbuka vizuri kwamba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Madai ya Wazanzibari 15 na Yasemwavyo kuhusu Muungano na Hatima Yake

    MOJA WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU ZANZIBAR TAMKO LA JUMUIA NA TAASISI ZA KIISLAMU ZANZIBAR JUU YA HALI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR APRIL 26, 2011 LEO TAREHE 25/4/2011 Shukrani zote ni za Mwenyezi Mungu Muumba wa mbingu na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili CHADEMA mmekurupuka

    Joblube, Unaonekana kukaa chini na kujaribu kujenga hoja zako japo zimegoma kujengeka .CCm hawajamfukuza fisadi yeyote na walichotoa ni siku tisini.Usitake kusema CCM wamefanya jambo jema na wanastahili pongezi cha msingi ni kutafakari wamechezea maisha yetu kwa kipindi kirefu kiasi gani. Dr...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema

    Thanx Lema for doing this.It was sad moments hope sometimes later we will be having democracy in our contry
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rostam, Bashe watangaza vita na JK, wamuita naye fisadi

    Tuwaache wamalizane wenyewe.tunajua wanapambana kwa 2015.baada ya kuwa dhaifu kwa mapambano baina yao watamkuta Dr Slaa anawasubiri then atawaumbua.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    Hii sio hoja ya msingi.Zitto ametakiwa kutoa maoni yake na akayatoa .kwa uhalisia wake maoni ya zitto dhidi ya Shitambala ni ya kweli .Unasema unaushahidi so post yako siyo ya kujadili bali ni ya kuipuuza
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lema

    Nimeipenda hii single...inatakiwa ipatikane mitaani
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kongamano la CHADEMA Vyuo Vikuu Dodoma

    Regia congrats for keeping us updated.You are just doing it great.But the pictures plz.pamoja
  15. M

    JamiiForums Tanzania MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    UVCCM chini ya makamu mwenyekiti wao walikuja na siasa za kujibu,wakawajibu Fredrick Sumaye na Samwel Sitta . Hatua hii ya kujititimua kuwajibu sio tu kwamba imewashushia hadhi yao bali pia imewafanya wakaonekana wakosaji mbele ya Wana CCM wenzao na watanzania kwa ujumla ambao bado wanawapa...
Back
Top Bottom