Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Kosa kubwa sana la Nyerere ni kuwekeza resources nyingi sana kwenye ukombozi wa Africa akasahau ukombozi wa watu wake kiuchumi. Alijua ukishapata uhuru tu basi kumbe mtu masikini hayupo huru. Mengine alijitahidi kwakweli maana wazee wetu masikini walisoma bure.Labda isingekuwa jitihada zake za kuwekeza South Africa, Mozambique,Rhodesia, Angola, Namibia etc tungeweza kuwa mbali kiasi.
Mimi nakumbuka early 80's ukienda ugawaji National Milling kupanga foleni ni balaa kabisa. Marehemu dada yangu alipigwa kofi kwenye foleni ya sukari akiwa na umri wa miaka 7. Bahati mbaya alikuwa na Sickle Cell ndio ikawa chanzo cha msururu wa matatizo hadi kifo.