Recent content by mushisg

  1. M

    FULL TEXT: Hotuba ya Upinzani Bungeni, Lema abainisha viashiria vya vurugu

    Hahahahaha maumivu hivi kwanini baadhi ya watu hawana subira? na wakati wote wanajiona wai ndio wako sahihi tuuuuuu.... Nini kinapelekea hauo yote????? Embu naomba kueleweshwa hapa...
  2. M

    TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Mmmmm mbona umehamaki ndugu kulikoni tena.....chenye mantiki kwako si lazima kwa yeyote kiwe hivyo tuwe na subira jamani kila mmoja akiwa na jazba sidhani kama tutajadili jambo tukapata muafaka mzuri wa kutujenga....
  3. M

    TEC yamjibu Asha Rose Migiro Kuhusu Kura ya Hapana

    Tangu bunge la katiba lilipo maliza kazi yake serikali ilianza harakati za kupanga matokeo kabla ya kura zenyewe na ndio maana walianza kusisitiza wananchi waisome halafu wakaipigie kura za ndio, ukitafakari utaona kumbe endapo nikikutana na mapungugu hukumu yake ni "hapana"!! Cha ajabu ni...
  4. M

    Mnatengeneza mashoga wenyewe mashuleni

    Embu pitia tena uzi wako nahisi kuna ujumbe muhimu, sina hakika ni tatizo la uandishi au ndivyo ulivyokusudia!!!
  5. M

    Pengo awalipua Maaskofu, asisitiza uamuzi wa aina ya kura ni wa mtu binafsi

    Sasa mbona mnakinzana bure!!!!!! Maana hata hao wanaosema msikubali waraka wa maaskofu nao pia wanashawishi jamii ikubali na kusema ndio kitu ambacho nacho si sahihi pia... Naamini kwa upande wao maaskofu wamefanya sehemu yao kama mchango wao.... Wengine na wao waende kunako wahusu pasipo...
  6. M

    Maaskofu wameitendea haki Katiba mpya - Warioba

    Ni mtazamo wako tuuu
  7. M

    Nyumba inauzwa Mbezi Louis

    nyumba Ina vyumba 3 kimoja ni master, common toilet, kitchen, store na library, baraza 2. Kuna choo cha nje, eneo ni ~1000sqm, ina hati ya mauziano ya serikali ya mtaa. Ina umeme pia. Zaidi pm namba yako tuwasiliane.
  8. M

    Nyumba inauzwa Mbezi Louis

    Kabla hujahukumu au kusema jambo fikiri kwanza wee unahakika gani mm ni tapeli??? Turudi kwenye mada sidhani kama kuna ulazima wa kuweka anachohitaji kila mtu, nachoweza kusema ndicho nimeandika na mm sio dalali hii ni mali yangu mwenyewe anaetia shaka basi aendelee na mada nyingine....si vema...
  9. M

    Nyumba inauzwa Mbezi Louis

    Nyumba inauzwa kwa anahitaji maelezo zaidi (PM tupange ) dalali hatakiwi
  10. M

    Pata gari mpya na used kwa bei poa

    Sorry suzuki carry please
  11. M

    Pata gari mpya na used kwa bei poa

    Toyota carry namba c inapatikana kwa bei gani
  12. M

    Nahitaji ushauri wa kisheria

    hatuandikisha na wala hakuna namna unayoweza kushauri hatua inayofuata pasipo kufanya utafiti na kuandika ripoti
Back
Top Bottom