Nyumba inauzwa Mbezi Louis

Nyumba inauzwa Mbezi Louis

mushisg

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
18
Reaction score
1
Nyumba inauzwa kwa anahitaji maelezo zaidi (PM tupange ) dalali hatakiwi ImageUploadedByJamiiForums1426329088.071291.jpg
 
tube mnyumbulisho wa nyumba.Halafu tupe na bei
 
Nyumba inauzwa kwa anahitaji maelezo zaidi (PM tupange ) dalali hatakiwi View attachment 234583
Kiongozi ukileta biashara uwe serious coz zile content za mzingi za tanzazo hazipo. sasa sijajua kama umefanya makusudi kutokuziweka? Kingine mambo ya PM hayana issue (Tumia PM kwenye mambo yetu yaleeeeeeeeeee........ lakini sio kwenye mambo ya chapaaaaaa). wewe weka Bei na namba ya Simu watu wakutafute. Mambo ya email adress waachie tradecarview na wengineo.
 
Kabla hujahukumu au kusema jambo fikiri kwanza wee unahakika gani mm ni tapeli???

Turudi kwenye mada sidhani kama kuna ulazima wa kuweka anachohitaji kila mtu, nachoweza kusema ndicho nimeandika na mm sio dalali hii ni mali yangu mwenyewe anaetia shaka basi aendelee na mada nyingine....si vema watu wazima tukakwazana kwa jambo kama hili isitoshe hatufaamiani zaidi ya humu kwenye mitandao ya jamii.
Isitoshe taratibu zipo za kufuata kabla hata ya biashara ss iweje ghafla unatoa maneno magumu mtu mzima pasipo hata kufikiri, embu tumia akili kufikiri kabla hujatoa neno
 
nyumba Ina vyumba 3 kimoja ni master, common toilet, kitchen, store na library, baraza 2. Kuna choo cha nje, eneo ni ~1000sqm, ina hati ya mauziano ya serikali ya mtaa. Ina umeme pia. Zaidi pm namba yako tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom