Recent content by mushii

  1. mushii

    Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

    Tukuamini wewe au tuiamini serikali iliyofuta tarafa nzima Nakuondoa huduma zote zakijamii..?? Nani kati yenu anaongea ukweli Itoshe kusema kwamba ACHA CHUKI CHUKI NI MBAYA SANA hakuna maisha ya binaadamu hata mmoja unaweza yathaminisha na wanyama hata wakiwa 1000 Bado maisha ya mwanadamu...
  2. mushii

    Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

    Hotels zinajengwa walipo wanyama na sio hotel tuu Kuna camps zinazopokea wageni wengi zaid zinahama mara kwa mara kusogelea wanyama walipo Tembelea mbuga zetu mara moja hapo serengeti na ngorongoro Ukirud tutaongea lugha moja Pia kuna wageni wanakuja kufanya italic wa watu wanakuja...
  3. mushii

    Heko, Rais kipenzi cha watanzania, tabasamu larejea Ngorongoro, lakini...!

    Mchezo umeujua baada ya mbuga kuuzwa kwa waarabu Kati ya wamasai wanaoishi kwa tamaduni zao za kale na five star hotels zinazojengwa mbugani Nani hasa anaaribu mazingira..?? Wagen wanakuja kuwinda simba tembo chui Lakin wamasia hawana muda na wanyama wakali Hata nyati wamasai hawali Fuel...
  4. mushii

    Ni wazo tu: Wachaga wahamishwe maeneo ya Mlima Kilimanjaro!

    Atakaeamua wachagga wahame kilimanjaro atakua ametusaidia sana Kutupatia sababu ya kudai TAIFA letu tukufu Tumekua tukitamani muda mrefu sana ila tulikosa pakuanzia
  5. mushii

    CCM ivunje tu utaratibu. 2025 asimame Kassimu Majaliwa kugombea Urais

    Ukweli ni kwamba fisiemu yote kwa sasa hakuna kama majaliwa. Wala anaemkaribia bado hajatokea
  6. mushii

    Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

    No za malipo ya kulipia kitabu chote
  7. mushii

    Maoni yangu juu mabadiliko ya katiba kwenye ukomo wa Urais

    Ulishaona uchaguzi ulio huru na haki tanzania..?? Maoni yako hayana maana yoyote Raisi ni taasisi yenye nguvu sana kwa katiba yetu hii inaweza kugeuza hata usiku kua mchana
  8. mushii

    Tafadhali CCM tusiwachukulie poa TEC. Kuwakabili hawa ni tofauti na CHADEMA

    Acha ujinga wewe usifananishe imani za watu na pesa hata mara moja
  9. mushii

    Tetesi: Meya Mstaafu Boniface Jacob wa CHADEMA kiongozi mgomo Kariakoo?

    Wafanya biashara ni sisi wewe hata tin no humiliki Uyo meya tunamsikia kwako Hakuna mwanachadema wala mwanaccm Yeyote anaefanya biashara hasa ya kuuza jumla kariakoo au anamiliki hata jengo lazima afanye mgomo hata kimya kimya kwenye nafsi yake Hili swala linawagusa wote Hata zungu ni chadema…?
  10. mushii

    Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

    TRA. TRA. TRA hata Kama serikali isiposikiliza madai yetu ni sawa ila tumeondoa sumu mioyoni mwetu Wengi wetu tunafilisiwa kimya kimya na awa vijana waTRA. Kwa kutaka mafanikio ya haraka haraka. Mioyo yao imejaa tamaa na zulma Bila huruma Mim binafsi ni muhanga wa hili jambo Na kama serikali...
  11. mushii

    Inasikitisha Spika Tulia kujifanya hajui kinachoendelea Kariakoo

    Hamna kitu unachokijua wewe. Kwanza inaonekana hata dar hujawai kufika. Kariakoo ndio kila kitu nchi nzima kwenye swala la biashara Maduka karibu yote njee ya kariakoo yanategemea kununua mali zote kariakoo. Ngoja tugome wiki nzima uone hata izo gari za viongozi wenu mafisadi zitafanyiwa...
  12. mushii

    Mrejesho: Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Mkuu Ishi nae kwa machale sana .. Ivi karibuni tunaweza kuandika RIP Kauli ya “nipe muda nifikirie” Sio kauli ndogo Tayari kuna mtu wa tatu ameingilia hapo katikati Hafikirii bali anakwenda kwa yule mtu wa tatu kuomba ushauri Majibu unayo sasa Rip mbuzi….!
  13. mushii

    Ole Sabaya hata kama alikuwa na hatia lakini sio ya unyag'anyi wa kutumia silaha. Hakimu aliyehukumu hana weledi

    Kiswahili chenyewe hujui Unapata wapi ujasiri wa kumkosoa hakimu Sio siRAha ni siLAha
Back
Top Bottom