Recent content by mushi kweka

  1. M

    Hisa za Lowasa za tarehe 1/1 za shuka kwa kasi

    Jamani hii positi ni shida kwa maana iyo lowasa hana wateja tena wakununua hisa zake hisa za pinda zimepanda
  2. M

    URAIS 2015: Benard Membe apata pigo jingine

    Sasa wandugu kwa hali ilivyo kwa sasa pinda taayari ameshanusa ikulu kila mtu sasa anakimbilia tunda zuri mtini Gotham simlaum ameona ni wapi kwenye muelekeo wa mafanikio na kwenye mikono ya hekima na busara.
  3. M

    Pinda alifaa kuwa Waziri wa Mashambani na Si Waziri Mkuu

    Tuwe tunaweka mada zenye akili
  4. M

    Pinda alifaa kuwa Waziri wa Mashambani na Si Waziri Mkuu

    Hahahhahah unaezungumza ivyo huna hata uwezo acha kurlpoka wewe
  5. M

    Prof. Maghembe akalia kuti kavu Mwanga

    Mwenye namba zake Dc majidi mwanga atupea hapa.
  6. M

    Prof. Maghembe akalia kuti kavu Mwanga

    Namkubali sana dc wa lushoto huwa na ona kazi zake sana za maendeleo swali ni kwamba atakubali kweli kugombea akikubali maghembe wala asigombanie nafasi kyo maana vijana na wazee watatangaza ushindi mapema.
  7. M

    Vituko vya January Makamba

    Jamani naibu waziri wa mawasilano Mh January Makamba kumbe hana nyumba ya kuishi kwenye jimbo lake anafikia hotelini na kufanya kazi zake hotelini na kuondoka Dar es saalam huwa anafikia Lushoto . Mwenye data atupie hapo
Back
Top Bottom