Hisa za Lowasa za tarehe 1/1 za shuka kwa kasi

jumajuma

New Member
Jun 22, 2013
3
0
soko la monduli tarehe 1 January 2015 limedoda kwa kukosa wateja! EL amekuwa na kawaida kuona wapiga kura wanaomuunga mkono kwenda monduli kila tarehe 1 January kula nyama!

Mwaka huu wajumbe wameshtuka baada ya Pinda kutangaza nia imebidi aamurishe wapambe wake watoe ahadi za kuomba wawakilishi wa kila kanda kutoa motisha kwa watakaojiorodhesha kwenda monduli January mwakani.

Kila mjumbe atagaramiwa nauli, kula na kulala bure njiani na monduli na mwisho wa sherehe wajumbe watapewa laki5@ na wanec 2m@! Wawakilshi wa kanda ziwa Chegeni, Karamagi na Vedastus Mathayo. Kanda ya kati Msindai.

Kanda ya magharibi kilumbe na serukamba. Kanda ya Pwani mtemvu, bureta na Nkya. Kanda ya nyanda za juu mwaitenda kanda ya kaskazini mwenyekiti CCM arusha. Zanzibar Hamis Mbeto Mambo!
 

RockSpider

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
6,866
1,500
Kambi yako ya WAMA inatia kichefu chefu!!! Lowassa hazuiliki kwa porojo za kitoto kama hizi ...
 

mpondamali

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
444
250
jamani kama e.lowassa anausaka huo uraisi soo be it .kuwepo kwa pinda katika hiyo race mm binafsi sioni ndio iwe sababu kubwa ya e.lowassa kukimbia race za kuelekea magogoni.kama e.lowassa anapigania kiti cha uraisi wacha endelee chama na wananchi ndio tutachagua nani bora nani si bora...kila mtu ana haki....hata mwizi ana haki ya kukimbilia polisi kuepuka kipigo cha wananchi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom