Prof. Maghembe akalia kuti kavu Mwanga

Prof. Maghembe akalia kuti kavu Mwanga

Uprofesor fake na uzee plus tezi dume vinamsumbua. Hao walomchagua sijui wana akili gani
 
Mdajid niye enevadindisha 2015 harikaaa,.... Kwambie mwamwirima kabwange kayaa. Kaichi siasa.
 
Jamani kuna dc wa lushoto majidi mwanga huyo ndie wazee wakipare wakamuombe kwa sasa
 
Namkubali sana dc wa lushoto huwa na ona kazi zake sana za maendeleo swali ni kwamba atakubali kweli kugombea akikubali maghembe wala asigombanie nafasi kyo maana vijana na wazee watatangaza ushindi mapema.
 
Wala asijaribu kama ndo anawatu nyie mjaribu kumsemea! Mabadilko mwanga ni lazima ila wapo vijana wawili tu mmojawapo ndie tutakaye mchagua kwenye fear election without mbwembwe wala mabomu
Namkubali sana dc wa lushoto huwa na ona kazi zake sana za maendeleo swali ni kwamba atakubali kweli kugombea akikubali maghembe wala asigombanie nafasi kyo maana vijana na wazee watatangaza ushindi mapema.
 
Wananchi wa wapi dada ?kisangiro,mforo au kona ya kwa hamisi mkazi?
Kuelekea uchaguzi wa 2015 wakazi wa mwanga wachoshwa na vijembe na udini wa Mnec ndg Tadayo na Mbunge ndg Maghembe. Wananchi Wajiandaa kumuomba Dc mmoja wapo anayetoka Mwanga kuja kuchukua jimbo 2015
 
Hija huyu mtu ni mwongo sikatai kuwa maghembe kakalia kuti kavu! Hata wewe unaishi usangi unajua kila kitu kuhusu mwanga wengi wanadecide from what the usangi say ! Hija kaka yangu mimi nimeshiriki siasa za mwanga mda sasa kilichokuwa kinafanywa na maghembe ni kugawa kwanza kura za ugweno jambo ambalo sasa haliwezekani kwani wazee wenye ushawishi wamemtema akiwemo mzee swedi kiluvia ambaye alikuwa kwenye ssekta ya udini sasa hivi wanamwanga wana option mbili kama ccm haitampitisha tadayo wakamrudisha maghembe jimbo bila chembe ya shaka linaenda tambarare kwa kijana henry kileo! Maghembe amebakiwa na karata moja kumtumia fenera mkangara kugawa ili kupata wanawake wengi na kura za ugweno kwa sababu fenera ni mgweno na taget ni katiba mpya kama itapita kwenye kipengere cha 50 50
Mimi pia natokea Usangi ila hizi siasa mbona ngeni kwangu anyway huyo Thadayo anatokea wapi kati ya Usangi na Ugweno.Mkangara na Thadayo wana cheo gani na inakuwaje Usangi wawe na sauti wakati si mjini kama ilivyo Mwanga wilayani au hata Kisangara,kilomeni na Ugweno kwenyewe mbona kuna idadi kubwa ya watu wa maeneo hayo na wenye ushawishi iweje Usangi toka Uhuru hawajaacha kutoa waziri kuanzia wawili.
 
Huyu Spora ni jembe, anaweza kugombea ingawaje mi sipendi ccm ila kama ni yeye nitampa
 
Ushawish kutoka usangi ni kwa sasbabu tangu zaman wapambanaji wengi kuhusu mwanga wanatokea usangi kwa mfano ili mwnga iwe wilaya timu iliyoundwa baada ya nyerere kumuhitaji mzee msuya baada ya kumaliza kipindi cha ubunge wa taifa kwenda kumshauri nyerere atangaze wilaya maana kama msuya angegombea na chadiel mgonja asingeshinda iliteuliwa kutoka usangi tu. Aliebuni na kusimamia miradi ya mabwawa mawil ambayo ni msaada mkubwa sana ni mzee peter kisumo mabwawa hayo ni kisanjun ugweno na nyumba ya mungu. Inaaminika kuwa hata mgogoro wa diosese ya mwanga ambao unaungwa mkono na wapare wote wa mwanga bila kujali dini zao umeanzshiwa usangi ,askofu wa kwanza wa kkkt same marehemu mshana alikuwa anaungwa mkono na watu wa din zote wa hapa mwanga, hata taasisi ya bakwata wilaya mwanga na mitaa yao zinajifunza kutoka bakwata usangi kwa jinsi inavyoendeshwa kisomi bila mikwaruzo na inashirikiana na dini nyingine vizuri tuzi kwa kifupi vitu vingi hapa mwanga na same haya mambo ya misaragambo (wananchi kuchangia nguvuzao kwa kufanya kazi za kijamii) ni mambo yalioanzia usangi tangu mkoloni kwa ujumla ili kiwe kamili lazima kipate experience kutoka hapo juu ingawa kwa sasa maghembe ameua ile spirit ya ushirikishaji kwa kiasi kikubwa wilya inarudi nyuma kwa kasi sana
Mimi pia natokea Usangi ila hizi siasa mbona ngeni kwangu anyway huyo Thadayo anatokea wapi kati ya Usangi na Ugweno.Mkangara na Thadayo wana cheo gani na inakuwaje Usangi wawe na sauti wakati si mjini kama ilivyo Mwanga wilayani au hata Kisangara,kilomeni na Ugweno kwenyewe mbona kuna idadi kubwa ya watu wa maeneo hayo na wenye ushawishi iweje Usangi toka Uhuru hawajaacha kutoa waziri kuanzia wawili.
 
Ndio lkn hawezi pata ubunge huku sio kama same kwa kilango wanapochagua majina

nikupe maelezo kidogo kuhusu mzee Swedi Kiluvia uyu mzee umaarufu wake umeshuka kupita kias baada ya kushiriki kufisad 80ml. za changia kiriki isife akishirikiana na bw.Mzava master wa kiriki na muhasibu wa shule jina limentoka kidogo kama si Abed huyu bwana ni katibu wa BAKWATA wilaya walivyoiba 80ml. walinunua magar aina ya Escud Zote nyeus ambazo hapa abed aliwaibia tena wenzake kwa kuwambia magari yalinunuliwa kwa 10ml. ili hali yalikuwa 6ml.fahamu wizi mwingine wa mzee kiluvia wa ng'ombe hamsin wa sadaka ya Eid El Haj hizi pia walishirikiana na abeyd na mzee wangu mmoja ambaye jina namwifadh kutokana na kuwa na ukaribu naye kifamilia.
 
Kuhusu swedi kiluvia nakubali maana yeye ndo aliutoa mtaa wa kirongaya kwenye muungano akiamini kwa sababu unamiliki shule ya kirongaya na pia anachangia kuimaliza shule ya kiriki kwa kumlea mnzava ambaye alikuwa anapishana kimaamuzi na second master wake kutokana na elimu! Kuhusu magari mbona mnzava alinunua gari lake kutoka kwa kangero headmaster wa lomwe? Na abedi alikuwa mtumishi wa umma bakwata ilimuazima kutoka serikalin yeye na mnzava na utumishi wao serikalin ulikoma miaka ya hivi karibuni wakalipwa pensheni zao na sasa wapo kwa mkataba kiriki? Shule ya kiriki inachoshwa na bodi ya shule chin ya uenyekiti wa swedi ambaye lilikuwa pendekezo la maghembe kwenye mkutano wa bakwata usangi
nikupe maelezo kidogo kuhusu mzee Swedi Kiluvia uyu mzee umaarufu wake umeshuka kupita kias baada ya kushiriki kufisad 80ml. za changia kiriki isife akishirikiana na bw.Mzava master wa kiriki na muhasibu wa shule jina limentoka kidogo kama si Abed huyu bwana ni katibu wa BAKWATA wilaya walivyoiba 80ml. walinunua magar aina ya Escud Zote nyeus ambazo hapa abed aliwaibia tena wenzake kwa kuwambia magari yalinunuliwa kwa 10ml. ili hali yalikuwa 6ml.fahamu wizi mwingine wa mzee kiluvia wa ng'ombe hamsin wa sadaka ya Eid El Haj hizi pia walishirikiana na abeyd na mzee wangu mmoja ambaye jina namwifadh kutokana na kuwa na ukaribu naye kifamilia.
 
Ushawish kutoka usangi ni kwa sasbabu tangu zaman wapambanaji wengi kuhusu mwanga wanatokea usangi kwa mfano ili mwnga iwe wilaya timu iliyoundwa baada ya nyerere kumuhitaji mzee msuya baada ya kumaliza kipindi cha ubunge wa taifa kwenda kumshauri nyerere atangaze wilaya maana kama msuya angegombea na chadiel mgonja asingeshinda iliteuliwa kutoka usangi tu. Aliebuni na kusimamia miradi ya mabwawa mawil ambayo ni msaada mkubwa sana ni mzee peter kisumo mabwawa hayo ni kisanjun ugweno na nyumba ya mungu. Inaaminika kuwa hata mgogoro wa diosese ya mwanga ambao unaungwa mkono na wapare wote wa mwanga bila kujali dini zao umeanzshiwa usangi ,askofu wa kwanza wa kkkt same marehemu mshana alikuwa anaungwa mkono na watu wa din zote wa hapa mwanga, hata taasisi ya bakwata wilaya mwanga na mitaa yao zinajifunza kutoka bakwata usangi kwa jinsi inavyoendeshwa kisomi bila mikwaruzo na inashirikiana na dini nyingine vizuri tuzi kwa kifupi vitu vingi hapa mwanga na same haya mambo ya misaragambo (wananchi kuchangia nguvuzao kwa kufanya kazi za kijamii) ni mambo yalioanzia usangi tangu mkoloni kwa ujumla ili kiwe kamili lazima kipate experience kutoka hapo juu ingawa kwa sasa maghembe ameua ile spirit ya ushirikishaji kwa kiasi kikubwa wilya inarudi nyuma kwa kasi sana

tatizo la wapare wa usangi ni kujiona wao ni wa daraja la juu zaidi kuliko wapare wenzao. wasangi waliwahi kumpinga mfumwa sabuni kwa madai kwamba hana asili ya usangi. kesi hiyo ilipelekwa mpaka kwa wawakilishi wa uno walikuja tanganyika. baada ya uhuru wakaanza kumletea matatizo chediel mgonja kwasababu tu siyo mtu wa kwao. baada ya kuona kwamba hawawezi kumuondoa chediel mgonja kwa kura wakaamua wilaya ya pare igawanywe kuwa same na mwanga. baadaye wakazua mgogoro mwingine wa kumpinga askofu wa dayosisi ya kkkt ya pare ambaye alikuwa mzaliwa wa same. wao walitaka askofu mshana mzaliwa wa mwanga arithiwe na askofu toka mwanga.kwa kweli vitimbi hivi vya wasangi vimerejesha nyuma maendeleo ya jamii nzima ya wapare. hivi kuna tatizo gani wapare tukiwa kitu kimoja?

siyo kweli kwamba msaragambo ulianzia usangi wakati wa ukoloni. utaratibu wa kujitolea na kusaidiana ni mila wapare wa maeneo yote. msaragambo ulianza kabla ya kuja kwa ukoloni. tukio kubwa wakati wa ukoloni lilikuwa ni mgomo wa MBIRU huo nao haukuanzia usangi, na haukuongozwa na msangi, bali Mchungaji toka Pare ya Kusini.

cc Dingswayo, The hammer hadija mashala, Hijja Madava, Naghenjwa
 
Last edited by a moderator:

Misaragambo ipo ktk jamii ya kipare toka enzi na enzi ni mfumo wa maisha sio kwamba umeanzia Usangi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom