Recent content by Mushi Eward

  1. M

    Tundu Lissu: Aliyevunja Mkataba wa ESCEL ni rais Magufuli

    We need answers of your questions from you. Lissu has already explained on his side. He didn't pose questions, he brought "his" facts. Give us your facts no questions. We are public judges, we will judge you with your facts objectively and logically. Asking us questions as a response to Lissu's...
  2. M

    Maonyesho ya Sabasaba 2017, yawaumbua Mafisadi

    Hao mafisadi na mawakala ni akina nani, na hizo habari wamesambaza wapi huko unakodai zimesambaa? Huu ndo unaitwaga "umbeya"
  3. M

    Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

    Nadhani hilo unaloita kosa la kiufundi lisilokua na uzito, kama lisingekua na uzito basi mahakama ingetupilia mbali rufaa. Sasa huwezi sema MTU aloachwa huru na mahakama ni mhalifu, umetumia sheria gani? Makosa ktk hati ya mashtaka pekee yanaweza kumfanya mtu asiye na hatia kukutwa na hatia...
  4. M

    Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

    Iliwezekanaje akaweza kupewa nyadhifa kubwa kama hizo serikalini na huku akiwa ni Mnyarwanda?
  5. M

    Kanali Lubinga: Nilijiunga CCM tokea wakati wa chama kimoja

    Bado ni ufafanuzi ambao hoja zake hazina mashiko. Kimsingi alikua bado mwanachama wa CCM huku akiwa ni mwanajeshi. Kusema tu baada ya kuingia mfumo wa vyama vingi kadi zao za chama eti zikahifadhiwa, hii haina maana kwamba mmiliki wa kadi ndipo alisitisha uanachama wake. Kama alistaafu tarehe 2...
  6. M

    Uteuzi wa Dk. Mashinji Mbowe, Waitara watofautiana

    Kiuhalisia ukisoma hiyo habari utagundua haina uhusiano wowote na kichwa chake. Sielew lengo la mwandishi ilikua ni nin. Hakuna sehemu yoyote ndani ya hiyo habari ambapo inaonesha kutofautiana kwa mh. Waitara na mh. Mbowe. Kama ni suala la elimu kama kigezo cha uongozi mahiri, wote kwa nyakati...
  7. M

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Lizaboni, huo ni utoto, siasa za kitoto sana hizo. Kwa jinsi tu habari ilivyoandkwa inakosa 'credibility' kabla hata ya ku-reason mtu aliyoiandika. Hata kama ingekuwa kweli, ila kwa namna na lugha iliyotumika inashawishi mtu kutoimini hata kidogo.
  8. M

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Nimefuatilia habari za magazeti mengi leo. Ni gazeti moja tu la Raia Tanzania lenye habar hiyo.
  9. M

    Dr. Slaa uso kwa uso na Zitto kwenye Mdahalo tarehe 18 June!

    Ruttashobolwa Hao unaowaita "watu" ni akina nani? Naamin huna jibu, na hakuna hao "watu". Hivyo basi si vyema hata kidogo kuwasingizia "watu" kuwa 'wanasema' au 'wanadhani' jambo fulani wakat ni mawazo yako. Vinginevyo tuwekee bayana hao 'watu' ni akina nani vinginevyo ni vigumu kuamini hicho...
  10. M

    Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    HAMY-D Mtoa mada tafadhali tutanabaishie ni lini, wapi na kazi zipi hizo za kichama unazodai zinafanywa na mh. Mbowe kwa kutumia gar la serikali.
  11. M

    Mzee Malecela amekitaka Chama cha Mapinduzi Kumchukulia hatua kali za kinidhamu Lowassa

    Naamini tutasikia mengi zaidi kadiri siku zinavyosonga mbele. Na huu ndio wakati wa kuwapima wapi ni 'viongoz' na wapi si viongozi. Pia tutajua wapi ni 'wanafiki', na kwa kiasi gani. Karibu tutawasikia hata wale walikuwa wakiwasifia watu kama Lowassa, sasa wataanza kutangaza upande wake wa pili...
  12. M

    Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

    Huo ni 'muono' wako, sio wa 'vijana wengi wa nchi hii' kama unavyodai. Hoja uliyoitoa ni nzuri, lakini usiihalalishe kwa kutumia 'muono' wako kama muono wa unaowaita vijana wengi wa nchi hii.
  13. M

    Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

    So what? Tatizo ni nini sasa? Sasa sisi tufanyaje? Twambie kama hilo limechangia kuliiza taifa ktk hasara ya mabilion ya "escrow". Wrong page!
  14. M

    Ukiondoa sababu ya kutoelewana na Reginald Mengi, sijaona sababu ya Prof. Muhongo kung'oka

    Kiuhalisia nimeshindwa kutambua hoja ya mada hapo juu. Mada imejaa ushabiki mkubwa badala ya kuthibitisha objectively juu ya hicho ambacho mwandishi anakiamini. Suala la kwamba eti wote waliokuwa wakishinikiza wahusika wa kashfa ya escrow wajiuzulu wana ugomvi na Muhongo binafsi sioni kama ni...
  15. M

    Ni Wakati muafaka kwa Jeshi la Polisi Kumburuza Mahakamani Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE

    ahsante mkuu...nimeshazitoa sababu zangu. Tafadhali naomba uzisome!
Back
Top Bottom