Recent content by MUSHEKY

 1. MUSHEKY

  Hii Post ya Khalid Aucho Ina Maana Gani?

  Maskini mjuba anaagana na nembo yake ya Gsm haamini lakini ndicho kinachomkuta
 2. MUSHEKY

  Ubungo hatuna umeme hadi muda huu Waziri Makamba jitafakari sana

  Unamaanisha mleta Uzi Hana akili? Ni kweli umeme hakuna mda huu eneo tajwa hapo juu na wakazi wa huku hatujawahi kushuhudia magiza ya dizaini hii kwa zaidi ya miaka mitano sasa Wahusika wajitafakari wajiweke kijanjani waone Kama wanatosha au laa!
 3. MUSHEKY

  Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

  Atachanganywa kwenye kasero kadogo na yule gaidi?
 4. MUSHEKY

  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete agomea eneo la ekari 50, ataka ekari 500

  Wakt wako huu baba jimwambafai
 5. MUSHEKY

  Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

  Mkiambiwa hamsikii, Pombe na jua hili haviendani abadani
 6. MUSHEKY

  Uganda yasalimisha umiliki uwanja wa ndege Entebbe kwa Wachina

  Dunia hi imejaa masikitiko makubwa Kuna wakati unatamani kulia....
 7. MUSHEKY

  #COVID19 Kirusi cha corona kimejibu mapigo dhidi ys chanjo: Kimejibadilisha na kutokea Super Corona Variant Nu!!

  Ukweli mchungu Ni kwamba kuna mazombie yanadhani dunia tuliyonayo inaenda naturally. HELL NO! Kila tunachokiona nyuma yake Kuna wanaume wanaolenga ku achieve Jambo fulani Tusidhani wale jamaa wa NASA wakienda kule anga za mbali wanaenda kuota jua na kurudi! Macho haya ya nyama yanaona vitu...
 8. MUSHEKY

  Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

  Wakati huo Mungu atakua wapi? Kila nafsi itaonja mauti!!
 9. MUSHEKY

  Hivi kwanini kuna watu wakisikia jina la January Makamba wanapatwa na hofu?

  Kuna Uzi humu tuliambiwa tuwe makini na vijana wenye vipara na kukunja mikono ya mashati yao wewe hukuiona?
 10. MUSHEKY

  Rais Samia: Naamini Tanzania bila Rushwa inawezekana

  Anamaanisha Nini?
 11. MUSHEKY

  Niliwahi kumwambia Hayati Magufuli, leo narudia kwa Rais Samia ili asipoteze muda wake

  Ukijiona una kichefuchefu usipapatike, Huo Ni ujauzito aliokuachia mwendazake
 12. MUSHEKY

  Watanzania unakataje miti Milion 4 ukubwa wa Mkoa mzima wa Dar ili tu kuanzisha bwawa la umeme (JNHPP tulitumia akili au shida ilikua nini?)

  Miti milioni nne Ni ukubwa wa jiji la Dar? Nyie mnasababishaga bangi ionekani Ni madawa ya kulevya
Top Bottom