Hee!! nini kimetokea Zanzibar na kupunguza idadi ya watu kiasi hiki!
Sensa iliopita Pemba ilikua na zaidi ya watu 200,000 na unguja zaidi ya watu 1,800,000 ambayo ilikua inafanya Zanzibar iwe na watu zaidi ya 2,000,000. Sasa kutoka Milion 2 hadi laki 3 mmmmh!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.