Recent content by Musaneza

  1. M

    Tetesi: Kuna nchi jirani ambayo magari yake yanapita free bandarini bila kukatwa kodi

    Kuna watu wana akili ndogo sana MTU analishwa story za vijiwen huko halafu anakaa nyuma ya kicharazio kuanza kuaminisha watu story hizo hivi kwann kama MTU hujui kitu usiulize na kuelewa kabla ya kuongea pia watanzania tumekuwa watu wa ajabu sana kila story tumekuwa watu wa kuamin tu bila...
  2. M

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi kinachojengwa Tazara ni Flyover au tumepigwa?

    Hii haina tofauti na ramli ya mganga wa kienyeji kule kwetu manyovu
  3. M

    Jinsi nilivyonusurika kutapeliwa!

    Duh kama mm ilikuwa mwaka 2013 mliman city crdb mm ilibadilika kidogo mwenye pesa dollar alikuwa mmama kiswahili utadhan kashuka kutoka mtwara Leo mm pia nilifika stage zote kama ww nilikuja stuka jamaa ananiambia tukamchukulie lodge huyu mama...! Nilimuuliza jamaa HV ww haupo nae huyu mama...
  4. M

    Kama wewe ni MTATA njoo hapa

    Daughter (c)
  5. M

    Haiba za wakuu wa shule za sekondari za zamani

    Huyu mtera binafs simfaham mm nilimuacha charwe
  6. M

    Haiba za wakuu wa shule za sekondari za zamani

    Kabla ya huyo nyuma kidogo alikupo charwe mashine kubwa rip
  7. M

    Msaada kuhusu timing ya kumpa ujauzito mwanamke

    Mkuu inaonekana shughur zako za kila Siku unafanyia kkoo maana si kwa kukalili huku
  8. M

    Msaada kuhusu timing ya kumpa ujauzito mwanamke

    Duh sina cha kuongeza nacheka mwenyewe kama chizi.....!
  9. M

    Hivi kama uko na mtu na huna malengo nae ila mna enjoy na kupendana,ni hak umwambie au ukae tuu kimya?ukisema utamuumiza

    Jamii forum haijawahi niboa kwakwel bigup mkuu hivi ndio tunatakiwa tufikir Hii ni zaid ya kufikiria
  10. M

    Kajala hii sio namna ya uvaaji katika runinga

    Uzur wa MTU upo machoni kwa MTU pia acha kuhitimisha kuwa yy atakuwa no moja sema kwa uonavyo ww
  11. M

    Iliponisogeza kwenye lango la mauti. Mtu nisiyemfahamu toka Zanzibar alivyonirudisha kwenye uhai

    Hili tapeli kama si tapeli limeweza weka jina na picha yake liweke kama kweli weka udhibitisho wa vyeti na mambo mengine ingawaje bado siwez kukuamin. Tafuta shamba ulime bro unaweza pata pesa
  12. M

    Quiz

    Rudi shule ya msingi ukajifunze magazijuto mkuu
  13. M

    Quiz

    Swali limekutenda vbaya boss...!
Back
Top Bottom