Recent content by musa yasini

 1. musa yasini

  Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

  je kwa TZ, tweeter bila VPN iimefunguliwa? nijuzeni bandugu!
 2. musa yasini

  Aiyenacho hata kidogo hunyang'anywa

  Inasikitisha sana kuona wanasiasa wetu wanaojiita wazalendo, kuwa na malimbikizo na misururu ya marupurupu na posho starehe, kusinzia, kupiga meza na kupongezana kuchaguliwa tena, tena wakiwa hawakatwi kodi na baada tu ya muhula wao kwisha ,bila kuchelewa, wameshachukua chao. TENA...
 3. musa yasini

  Kuelekea Mei Mosi, Walimu tunaomba Rais Samia Suluhu uunde tume ya kuichunguza CWT

  ninyi c ndo wale wa kura zote kwa ccm na cwt ndo mpaka kinagawia fedha sirikali na cwt kumejaa makada wa chama.cwt ni maficho ya makada chipukizi wa chama. TULIENI TU KIMYAA mnyolewe!
 4. musa yasini

  Mitindo ya unyoaji wa nywele kwa watumishi wa umma

  wee mtumishi wa umma unawaza mitindo ya kunyoa? nenda kwenye sanaa huko unanichefua
 5. musa yasini

  Ushauri wa wazi kwa Wizara ya Elimu na NECTA

  Hili lifike mahala husika.
 6. musa yasini

  Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

  Ndugu wanajamvi, nimefuatilia kwa umakini kongamano/mkutano wa viongozi wa dini CHIMWAGA-DODOMA. KONGAMANO limejaribu kutuweka TANZANIA kuwa nchi ya umoja,amani, na mshikamano. Pia limajaribu kuunga dot za utawala uliopita na wa sasa. PAMOJA na kuwaasa wanasiasa waache kutubagua WATANZANIA...
 7. musa yasini

  Zitto: Tulikuwa tunafanya propaganda za kwamba tunafufua Shirika la Ndege

  haya bana mnaowaza kwa kutumia akili za 1977, sisi mtuacheeeeeee na CDM YETUUUU
 8. musa yasini

  RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

  hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 9. musa yasini

  Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

  naona kila mtu ana fikra tofauti ,tumuache mama afanye kazi tumpe muda tumuone jamani, haya ya kutuuza yatoka wapi tena? tumpe vigelegele tu kwa mwanzo mzuri then akiharibu tusemeee maana katupa uhuru huooo!!!!!!!!!!!!!!!
 10. musa yasini

  Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

  Nimwfarijika sana baada ya kusikiliza hotuba ya Mama Samia Suluhu Hassan , The President of the United Republic of Tanzania yajayo yananipa matumaini.
 11. musa yasini

  Rais Samia Suluhu Hassan ameanza mchezo vizuri sana

  mpaka leo hujawahi kumwelewa tu?
 12. musa yasini

  Kama Magufuli hakuvaa viatu vya Kikwete, mama Samia hawezi kuvaa viatu vya Magufuli

  kwann kulazimisha mtu kuvaa maviatu ya ntu mwingine? kila mtu na guu na namba yakeee!! nafikir twaelewana eeh njombaaa
 13. musa yasini

  Wapinzani ndio walio shauri tununue ndege tena wakaanza kuzipinga

  Hakuna hata mmoja haapo aliyesema mnuunue nyingi bila kuangalia ushindani wa soko wala hakuna aliyeshauri zinunuliwe kwa misifaa, NOTHING!
 14. musa yasini

  Bei ya Vifurushi itamuondoa mtu next week..

  asenteeee... ungegusia na tweeter yetu irudishweeee tuachane na ma VPN tuwe taifa huru kimawasiliano
Top Bottom