Shirika la Reli Tanzania - TRC na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani - WFP limepokea taarifa ya utafiti wa usafirishaji wa mazao ya mbogamboga na matunda kwa njia ya reli kutoka katika Kampuni ya Innovex Development Consultant Limited kwenye kikao kifupi kilichofanyika katika ukumbi wa...
Taasisi ya Huduma za Usafirishaji wa Majini (ISCOS) inayojumuisha wanachama wa nchi tano ambazo ni Tanzania, Uganda, Kenya, Zambia na DRC imetembelea TRC katika jengo la stesheni ya SGR Dar es Salaam 01, Machi 2023.
Behewa 14 za SGR zimeanza kuwasili nchini Tanzania kutoka nchini Korea
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Shirika la Reli Tanzania – TRC na Kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) kutoka nchini Korea Kusini wamesaini mkataba wa ununuzi wa mashine na mitambo ya matengenezo ya njia ya reli ya kisasa – SGR, Hafla hiyo imefanyika makao makuu ya TRC jijini Dar es Salaam Novemba 07, 2022.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ametembelea nchini Korea katika kampuni ya SSRST kuona ukamilishaji wa utengenezaji wa behewa.
Muonekano wa banda la Shirika la Reli Tanzania katika maonesho ya mashirika ya reli ya ukanda wa jumuiya ya maendeleo ya kusini mwa Afrika, SARA Rail Conference and Exhibition 2022, yanayofanyika Johannesburg nchini Afrika ya Kusini tarehe 26 hadi 28 Oktoba, 2022.
Kampuni ya CCECC kuanza ukarabati wa reli kutoka kaliua mpaka Mpanda umbali wa Km 120, pia TRC imesaini mkataba wa ukarabati wa daraja la Godegode, Mpwapwa Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ametembelea nchini Korea katika kampuni ya SSRST kuona ukamilishaji wa utengenezaji wa behewa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ametembelea nchini Korea katika kampuni ya SSRST kuona ukamilishaji wa utengenezaji wa behewa.
Wananchi wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wanufaika na Fidia
=====
Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendela
kuwapatia malipo ya fidia wananchi wa wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro il kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGRkipande cha pili Morogoro Makutupora kwenye zoezi la malip0 ya...
Shirika la Reli Tanzania – TRC kwa kushirikiana na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia – TAZARA, Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini – LATRA, Wakala wa Barabara Tanzania – TANROADS, Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini – TARURA wameadhimisha kilele cha wiki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.