TRC imesaini mkataba wa ununuzi wa mashine na mitambo ya matengenezo ya njia ya SGR

Musa Kadiko

Member
Jun 15, 2022
16
18
Shirika la Reli Tanzania – TRC na Kampuni ya Sung Shin Rolling Stock Technology (SSRST) kutoka nchini Korea Kusini wamesaini mkataba wa ununuzi wa mashine na mitambo ya matengenezo ya njia ya reli ya kisasa – SGR, Hafla hiyo imefanyika makao makuu ya TRC jijini Dar es Salaam Novemba 07, 2022.
22%20mikataba.jpg
 
Taifa liko kwenye maombolezo lakini wengine wanafanya manunuz. Hii siyo fair kabisa.
 
Back
Top Bottom