Recent content by murutongore

  1. murutongore

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya clearing ya kununua

    Natafuta kampuni ya clearing ya kununua. Bajeti ni 15m
  2. murutongore

    JamiiForums Tanzania M23 waliamsha tena DRC, Wauteka mji wa Nyabibwe, Jimbo la Kivu Kusini

    Kuna ndugu yangu hapa anaitwa jMali...Siku nyingi sana sijamsikia. Bado yumo humu au ndio anakula kichapo huko Nyabimbwe 😅
  3. murutongore

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame, aapa kuiongoza Rwanda kwa mhula wa miaka 5

    GDP in 1994 was USD 100......2024 is USD 1000. That is a 1,000 increase in 30 years.
  4. murutongore

    JamiiForums Tanzania Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

    Not clean.
  5. murutongore

    JamiiForums Tanzania Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

    Mke wake anajua....kampuni ni yake na mke wake. Watu siku hizi ni wapigaji.
  6. murutongore

    JamiiForums Tanzania Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?

    Mimi nilisema muda mrefu...kushiriki ni kuhalalisha uchaguzi huu. Lakini hawakusikia. Sasa vyama vya upinzani vimerudi kwenye political wilderness.
  7. murutongore

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rufaa ya Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Mlimba bado haijatolewa na NEC?

    Kauli za ki njaa njaa hizo.
  8. murutongore

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

    Hiyo buku 7 yako bado haija expire? Hujui unachoongea wewe.
  9. murutongore

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

    Sheria unaijua? Sheria iko kwenye kitabu cha NEC...umekisoma wewe? Kama hujakisoma kaa kimya
  10. murutongore

    JamiiForums Tanzania Trump tested positive for Coronavirus

    Si adondoke tu.....anachosha
  11. murutongore

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Binti wa Kagame ameanza kuandaliwa?

    Watu wengine bwana....unapiga tungi siku nzima, unaingia nyumbani usiku wa manane unaoata ndoto asubuhi unaamka unaiweka kwenye JF halafu na wewe unajiita JF Expert Memba....mmmmsssswwww
Back
Top Bottom